Duration 5:18

AMENISAMEHE - Godwin Ombeni Ft. Fanuel Sedekia.

2 406 watched
0
20
Published 12 Jan 2021

AMENISAMEHE ni Wimbo mojawapo ya nyimbo katika Album yangu ya kwanza iitwayo Tufani Inapovuma. Album hii (Audio) niliimba na Rafiki yangu Fanuel Sedekia; Ndiye aliyenitia moyo kwenda Studio kwa mara ya kwanza.

Category

Show more

Comments - 2