3 cups water
4 cups brown sugar
pinch of saffron mixed with 2 tbsp rose water
pinch of orange and red food coloring
mix well
when it's about to boil add
1tsp nutmeg powder
1 & 1/2 tsp cardamom powder
Let it boil 2 minutes
Add mixture of
2 cups tapioca flour
1 cup water
mix well
keep stiring continuously for about 25 mins
Gradually add
1 cup mixture of ghee and oil
add almonds and cashewnuts
it took me about an hour to cook the halwa
@omantelomantel54283 years agoDaah Leo ndio naona haluwa unavyo pikwa cjawahi kuona Mashaallah 2
@
@simplykulthum81904 years agoMa Sha Allah this halwa recipe is easy lots of luv ❤ 5
@
@shampianna924 years agoMashaAllah your channel is so nice.Shukran for the amaizing recipes
@
@abdulomar51474 years agoThank you so much for the recipe... Mungu akuhifadhi...natamani ku uma simu yangu nionje ...
@
@siriyangu47244 years agoMashallah ni zury na uo unga wa muhogo waweza tengeza kutumia mihogo yenyewe kama sehemu uko hakuna iyo unga
@
@zuracurie17494 years agoUnga wa Mihogo..Masha Allah...sikujua. 1
@
@hermandemello22003 years agoTy my dear Mapishi Rahisi for the awesome lovely haluwa recipe n supper results I'm pleased and happy watching ur post from Tanga Tanzania Wow 1
@
@supamaridadi65884 years agoWowww yaani hutumiii machine aaaaaaaau rahisi nitajaribuu
@
@leilamehbub9484 years agoAslm Alkm mashAllah u r always my role model is unga ya muhogo same na corn flour Sana naona wapishi hutaja hii Kuna na ni nn hufanya haluwa kuwa soft Sana ambaye sio nzuri advice me sis na Allah Akubariki Sana thanks
@
@supamaridadi39004 years agoMashaallah na like video Mashaallah mungu Akubariki lakini waeza kueka kikombe 2
@
@timaanwar91334 years agoAslm aleikm shukran kwa halwa soo easy mashallah. Nauliza huu unga wa muhogo ni swa na unga wa 'wanga'?!
@
@shaluumusa76554 years agoMashaAllah jazakaAllah kheyra,inshaAllah ntajaribu nikutag
@
@ummafye29364 years agoLeo nilikua nenda kwa oman haluwa hapa sakina . Shukraan . Jazaka Allahu khairan
@
@mariamnjuki15804 years agoAssalm alykum ...jaman huo unga wa muhogo ni huo unaopikiw ugal au ni mwengn? 2
@
@ahmedrashidali52143 years agoMashAllah kupika Haluwa inachukua how many hrs?
@
@dorroboss4 years agoI like your recipes, but I usually adjust the amount of sugar I use, sometimes the recipes are too sweet and I don't have a sweet tooth anymore. Kudos for great recipes 1
@
@jabrial52954 years agoHiyo ulotumia ni tapioca flour sio tapioca starch?
@
@samirbazaar22902 years agoMapishi rahisi Unga wa tapioca unapatikana wapi hapa Mombasa nami nataka nijifunze
@
@rashidramadhani926410 months agoDada mm nataka nijifunze kupika halua. Lakin sijui Maan sina kazi ya kujitegemea. Nahitaji nijifunze hata kwa malipo nipo tayari. Sijui unapatikana wp.
@
@abubakaromar54294 years agoassalam alykum je unaweza kurumia unga wa muhoga wa locally
@
@yuppaali17704 years agohabibty hiyo kikombe unacho tumia ni ml ngapi please yanitatiza shukra kwa mapishi ya halwa-halwa ya seif
@
@ladyfausta74483 years agoNaweza kutumia unga Wa ngano unafaa km Sina hui ungs
@
@athmanali77704 years agoWaaleikum salaam Wow mashallah inaonekana tamu sana please niambie jina lako ni nani ? Unaishi wapi ? Mimi ni binti wa athman ali Naysana please I want you to become my best friend I really like this video thanks for your video bye ...
@
@fatmasaleh27074 years agomashallah,, nimependa sana .. unga ulotumia unapatikana wapi?
@
@leilamehbub9484 years agoSo any mafuta ni sawa tu bt samli is the best
@
@itsafrah._.89534 years agoYay 😁 I was waiting for a haluwa Recipe 2
@
@aminashee20274 years agoAsalam alaykum.. Masha Allah nimependa Sana ..lkn ungaa huu naaweza pata wapi...Niko malindi
@
@zahramfaume-zi4nwlast yearSorry dear..nataka kufuhamu halwa Unaweza kukaa muda gani bila kuharibka? Na ikiwa haikai muda mrefu mpaka kuharibika naweza fanya nini ili kuifanya isiharibike mapema.?!
@
@sumaiyamahamoud24884 years agoHalwa ile ya mombasa kwa ba seif tamu ajab
@
@aishasiyad36414 years agoAssalam aleikum siz I’m in Mombasa nipate wapi hio unga ? 2
@
@melissahnasiche1874 years agoMapishi rahisi Kama Sina unga wa mihongo naweza tumia ngano🤔🤔🤔🤔
@
@lulusanga23264 years agoA salaam Aleykum un ga huh was tapioca kwa Dar naupata wap
@
@thee_wiseman_4 years agoSauti taaaaamu kuliko haluwa yenyewe....
@
@muniramohammedmunira3832last yearKama huna unga wamuhogo naweza kutumiy unga wa mahidi
@
@brighterkendy80293 years agoThis channel is the best especially am the all time lover of swahili dishes,,, God bless you siz
@
@keziahmwangi24784 years agoIt's hard to cook this unless you write down your recipe,not easy to understand this ingredients.
Related videos for JIFUNZE kupika halwa/haluwa tamu sana nyumbani kirahisi | Homemade omani halwa:
Lakin sijui
Maan sina kazi ya kujitegemea.
Nahitaji nijifunze hata kwa malipo nipo tayari.
Sijui unapatikana wp.
Na ikiwa haikai muda mrefu mpaka kuharibika naweza fanya nini ili kuifanya isiharibike mapema.?!