Duration 1:23

ISIMILA STONE AGE

131 watched
0
1
Published 27 Aug 2020

Isimila Stone Age, moja kati ya maeneo ya kale ambayo Hifadhi za Taifa Tanzania inasimamia,eneo hili lipo Iringa, ukiwa unaenda Ruaha au unatoka ni moja kati ya maeneo mazuri kwenda kutembelea. Bei zake ni rahisi tu kwa wazawa, wanafunzi wa shule za msingi na sekondari ni Tsh 1000, na watu wazima ni Tsh 2000 tu, unaachaje sasa kufika.. kwa maelezo zaidi wasiliana nao instagram @isimila_stoneagesite video na @zakariamgala_

Category

Show more

Comments - 0