Duration 8:14

MREJESHO | MAMA HAPPY ALETEWA NGUO | HALI YANGU BADO MBAYA

11 033 watched
0
155
Published 16 Dec 2021

Category

Show more

Comments - 71
  • @
    @happynelson11363 years ago Mama happy alichelewa sana kupima na kuchelewa kutumia dawa ndiyo maana watu wanashauriwa kupima afya zao mapema. 10
  • @
    @rabrab80733 years ago Mungu baba najileta kwa ajili ya mamahuyu mama happy mungu wangu nakuomba kwa unyenyekevu sana ukamguse huyu mama kuanzia utosini hadi nyayo za miguuni . ...Expand 12
  • @
    @umma66543 years ago Dawa za mama happy zina nguvu sanaa. Anafaa apate lishe bora ndio atatulia. 5
  • @
    @marthatv93353 years ago Dawa ya mma happy tunayo nainaweza msaidia sana.
  • @
    @ashuradaudi90133 years ago Jaman aende na kwenye maomb sikuizi watu wanalogea magonjwa aende uku anatumia dawazake. 7
  • @
    @frolalupogompumbavuwewesiw1793 years ago Mmmh ni muda cna mrefu cna yupo kotandani au kuna kitu kingine kwani kama dawa anakunywa dawa mbona bado cna n mungu aonyeshe ugonjwa anaoumwa na kujua dawa anazofaa kutumia amina. 4
  • @
    @qwqw16653 years ago Mungu atakusaidia utapina kinachotakiwa ni dua tuu. 1
  • @
    @rukiauledi38123 years ago Pole sana mama happy mwenyezi mungu atakuafu. 4
  • @
    @ukhutfatumah11543 years ago Mama allah atazidi kukupigania inshallah utasimama tu. 2
  • @
    @rehemshehoz87043 years ago Mngembadilishia daw jmn huend hazifai hiz n pia angeend hospitl. 2
  • @
    @hassanmpemba57473 years ago Pole sana mama happy mungu atakujalia utasimama ipo siku. 1
  • @
    @fariarizaq75283 years ago Pole mum happy mungu akupe shifah inshaallah tunakuwombea sana. 1
  • @
    @janemuthoni7233 years ago Halafu mimi niko kenya lkn naishi ngambo, nauliza kama mama heppy atakubali mimi nije tz nijiandikishe kwenye vituo vyenu vya police nimchukue ako kavulanasana.
  • @
    @saudahassan66673 years ago Jmn mama happy poole sana mungu atakuponya inshaallah. 2
  • @
    @salimanasri39803 years ago Maman happy tunakuombeya kwa allah ukupe shiffa. 1
  • @
    @mauwarashid48233 years ago Mungu akuzishie nawapa_nguo_na vitu_vote. 2
  • @
    @shamzone3883 years ago Mama happy allah atakusimamia zaid upate nafuu uwe na wewe na furaha kama wengine. 1
  • @
    @jenifaranthony8693 years ago Naombeni uyo mama aludishe ospitar kiukweli tunaomba zahiri apelekwe hospitali ili wakampime upya.
  • @
    @azizaabeid20553 years ago Mama happy bora arud hospitaldawa pengine haziendani na damu yake na wampe vidonge vya damu pia mana anaonekana hana damu mana dawa zingekuwa zina mfaa angekaa sawa mana kaanza kutumia kitambo mtihani mungu atakupa shifaa. ...Expand 2
  • @
    @janemuthoni7233 years ago Zahir ako wapi au ashachukuliwa ndani na flora.
  • @
    @jenifaranthony8693 years ago Tujue tatizo kama niilo tatizo mlilo lisema niwengi wameinuka.
  • @
    @janemuthoni7233 years ago Hii ugonjwa yake yanishangaza mbona yeye ako chini mda mrefu na alishaanza kutumia dawaau ako na maradhi ingine iko kwa mifupa. 1
  • @
    @janemuthoni7233 years ago Zahir ako wapi au achakuliwa ndani na flora?
  • @
    @aminaramdan32833 years ago Mama happy. Anatakiwa vidonge vya maginizim, zink, na casiyum, apate dawa hizi ama mwambie atumie mlonge majan yake wayapuruwe kisha waanike ndani yakikauka . ...Expand 5
  • @
    @aishachambo86633 years ago Uyu mama jamani anakunywa dawa kweli au mm nishawaona wagonjwa kama yy wakianza kutumia dawa tu wananyanyuka. 4
  • @
    @valenakomba44533 years ago Nyinyi msimfanye huyo kama show. Mpelekeni akaombewe apone. Kama kweli nataka apone.
  • @
    @catherinemlaponi78323 years ago Mbona kama bado hapati nafuu mama happy, dawa anatumia vizuri kweli?
    halafu wasaidiwe mtaji wa biashara, hela ya kupewa na kutumika muda huo haitoshi jamani. Happy biashara ya mkaa aliacha?
    4
  • @
    @kiri58073 years ago Huyu ana ukosefu wa vitamins ndio maana anapata maumivu ya mifupa. Huyo dadaake happy atazaa naye mwengine karibu. 3
  • @
    @rabrab80733 years ago Mungu baba najileta kwa ajili ya mamahuyu mama happy mungu wangu nakuomba kwa unyenyekevu sana ukamguse huyu mama kuanzia utosini hadi nyayo za miguuni . ...Expand 12
  • @
    @azizaabeid20553 years ago Mama happy bora arud hospitaldawa pengine haziendani na damu yake na wampe vidonge vya damu pia mana anaonekana hana damu mana dawa zingekuwa zina mfaa angekaa sawa mana kaanza kutumia kitambo mtihani mungu atakupa shifaa. ...Expand 2
  • @
    @aminaramdan32833 years ago Mama happy. Anatakiwa vidonge vya maginizim, zink, na casiyum, apate dawa hizi ama mwambie atumie mlonge majan yake wayapuruwe kisha waanike ndani yakikauka . ...Expand 5