Duration 3:20

Magoli | Namungo 1-1 Biashara United | NBC Premier League

69 787 watched
0
290
Published 30 Dec 2021

Biashara United wameibana mbavu Namungo FC na kulazimisha sare ya bao 1-1 katika mchezo wa ligi kuu ya NBC #NBCPremierLeague kwenye Uwanja wa Ilulu mkoani Lindi. Reliants Lusajo amefunga goli la Namungo huku Denis Nkane akichomoa kwa Biashara United. Haya hapa magoli.

Category

Show more

Comments - 6