Duration 12:29

Ndugu watano wafariki wakimuaga Magufuli | Wazazi wasimulia tukio zima

206 916 watched
0
560
Published 22 Mar 2021

Ni Huzuni na majonzi vimetawala nyumbani kwa familia ya Daudi Mtuwa iliyopoteza watu watano wakiwamo watoto wanne waliopoteza maisha jana Machi 21, 2021 kutokana na msongamano mkubwa wa watu walioshiriki shughuli ya kuaga mwili wa John Magufuli.

Category

Show more

Comments - 312