Duration 9:8

Jinsi ya kulima bamia, jifunze kilimo cha bamia la mgongo chenye faida

21 193 watched
0
114
Published 14 Jan 2021

jifunze namna unavyoweza kulima bamia likakupa faida, bamia ni zao la mboga lakini pia linaweza kua tiba, ni kati ya mazao yanayoliwa sanaa na kupendwa sanaa kwasasa, hivyo basi kupitia ukurasa huu utajifunza mbinu mbalimbali za kulima bamia na kukupa faida

Category

Show more

Comments - 43