Christina Mori ni binti wa Kitanzania ambae anasoma China ambapo akiwa huko ameiendeleza spirit ya ‘kichaga’ kwa kuwauzia Wachina idea ya kupika vyakula vya Kitanzania na sasa anaingiza pesa kwa kulipwa na Wachina.
@eugenfredrick23285 years agoKAMA WEWE NI MCHAGA GONGA LIKE APO👆,KUMPA CONGRATS, 150
@
@mbuleeflow94405 years agoKama wewe ata china unapasikia gonga like apa😉😉😉 105
@
@emmanuelshayo70235 years agowachagga like zenu hapa 2juane!!! heleri 118
@
@cathelinemsenga69535 years agoHapo Mwika headmaster Mr Mlay....wengineo mwlm Makyao, Mlaki, Meena nk 7
@
@casandrahhelman76395 years agoLife yyte ya nje ni magum xna.. tuna vumilia tu. Good idea and patients. God knows how. Congrats. Keep it up.🤗 10
@
@Itarusii5 years agoUgumu wa maisha kipimo cha akili. Msemo mzuri 14
@
@hashimabdalah31615 years agoHongera sana sstr tina wangu Ilove you 😘😘 5
@
@YusufAli-ib6xu5 years agoGod bless you for your hard work Your family should be proud of you And Tanzania should be proud of you for your hard work and big example to everyone 18
@
@halimaabdulaziz51435 years agoAsante mama nakupenda mpampanaji wangu wadada mfano uo popote ni mahali pa kazi cha muhimu kutokiuka sheria za dini yako basi 1
@
@aichaabdul58445 years agoHadi huku Liberia na Ivory Coast nimekutana na hawa wachaga, wako kama wamasai karibu kila mahali wapo. Walioko huku Afrika ya magharibi tujuane 3
@
@zawadymaluku80395 years agoWachaga hatujawahi kosea kwa utaftaji Wa pesa 20
@
@jideysamy38065 years agokama unatukubali sisi wachagga like hapa 26
@
@habibujullius84585 years agoNimekuelew pamban, Mungu awe nawe, Cna ndoto za kufika chin ila. Ngoja nizianzishe sasa 3
@
@mzazi155 years agoNilikuwa nimezoea kula pale Madina ila sasa ntakuwa nakuja kula kwako asee... Ungikorie kyumbo na machalari 35
@
@goldertatu13545 years agoAnaongea Kama Nai wa Moni! .. Kama unakubaliana na mm.. Gonga like 4
@
@jackiedeshirima55715 years agoGood job mama chagga wapambanaji proud of our tribe Hongera mama Nitatafuta connection na wewe
@
@cindymacho52825 years agoMkinga ndio kiboko ya wachaga useme niwakimya ilawanajuwakukusanya Hao watu wanamake na kuna makabila hayo toeni like 3
@
@belindagiliard89775 years agoWachagga ni wayahudi wa Tz,.the more you hate them the more they explore 31
@
@arnoldnminja34765 years ago🙊 21,000/= vya loko hivo.kweli unazimeki.ngoja nijeona dada yangu... 7
@
@marygaspar64295 years agoHongera Manka! Mungu akusimamie kielimu na kikazi! 9
@
@evonrn20005 years agoMadam tupe infor ya HoteIi lako tuta leta biashara....shukrani. 1
@
@ladislausngoyinde43845 years agoUnaulizwa umezaliwa na kukulia wapi, unajibu ww ni mchaga😁😁😁😁😁😁😁😁😁 lkn hongera kwa kujiongeza 7
@
@benardmartine2445 years agoHakuna Kitu Sema Mnapenda sifa Za Kiwehu, ila kuna Makabila Yanapiga Note Kimyakimya 4
@
@ipyanaibrahim41225 years agoJaman kasoma radiology diploma au maana miaka mitatu 1
@
@judithmremi975 years agojamani dada nimekupenda dada yangu aika mae 2
Your family should be proud of you
And Tanzania should be proud of you for your hard work and big example to everyone 18
Mungu awe nawe,
Cna ndoto za kufika chin ila. Ngoja nizianzishe sasa 3
Hongera mama
Nitatafuta connection na wewe