Duration 10:17

LIVE: KUFURU ya IRENE UWOYA, AMWAGA PESA kama ZOTE kwa DIDA na MUMEWE..

39 798 watched
0
188
Published 26 Jun 2021

🔴#LIVE: KUFURU ya IRENE UWOYA, AMWAGA PESA kama ZOTE kwa DIDA na MUMEWE.. USIKU wa Juni 25, mtangazaji Dida na mumewe Omary Kumbilamoto, wamefanya sherehe ya ndoa yao katika ukumbi wa Mlimani City ambayo imehudhuriwa na mastaa wengi akiwemo Irene Uwoya.. ⚫️ Kwa UPDATES zote, Download GLOBAL APP: ⚫️ ANDROID:http://bit.ly/38Lluc8 ⚫️ iOS:https://apple.co/38HjiCx ⚫️ VISIT AMAZON: https://www.amazon.com/shop/globaltvonline ⚫️ JE, NA WEWE UNA HABARI? ⚫️ WASILIANA NA GLOBAL TV ONLINE ( +255 784 888982), ( +255 713 837506) ⚫️ Email: globaltvbest@gmail.com OR abbymrisho@gmail.com ⚫️ OUR PLAYLISTS: ⚫️ HABARI MPYA DAILY:shorturl.at/mnux2 ⚫️ HISTORIA ZA VIONGOZI ZA KUSISIMUA: http://bit.ly/mikasa_ya_kusisimua ⚫️ GLOBAL RADIO TV: http://bit.ly/255globalradio ⚫️ EXCLUSIVE INTERVIEW: http://bit.ly/exclusive_interviews ⚫️ Subscribe Global TV http://bit.ly/globaltvonline

Category

Show more

Comments - 46
  • @
    @sebastianfesto87773 years ago Kwani kuna watu wanateseka kuona pesa inatunzwa. 3
  • @
    @catherinemasiga66663 years ago Maisha ya kihalisia na ya esma sio vema ujilazimishe pale unapojua huwezi. Safe sana. 3
  • @
    @abdulaisha41453 years ago Sasa kama zawadi kwa nn usimpe mkononi unawaogesha na pesa. 1
  • @
    @mwajumahamisi20063 years ago Nilikuw napit tu mm esma kuna maish ya kesho cyo kwa mavaz hayo. 2
  • @
    @anneafrica9393 years ago Makufuru ya hivyo mtasikia mchezo umeisha huo uchawi munajiroga nyie watu somo amkulipata la harusi ya esma. 1
  • @
    @minakhamiskhamisi61933 years ago Yn pesa zitatupelek moton ndgu zangu sio sir sina wivu n wal sio nn tusem ukweli jmn hay tuache jmn kuna kesho jmn. 3
  • @
    @mohammedabdala75263 years ago Mayatima wapo wamasikini wapo unaweza kwenda ukaongeza ujenzi kwenye kanisa au mskiti.
  • @
    @azzamahamdu70393 years ago Irene tall lady, boss lady. Ila irene haya bana hana pesa afu lete pochi. Hata pochi haibebwibora esma kaaza kujitetea yy anausika na biashara ndogondgoesma kapagawa anaon . ...Expand 1
  • @
    @bighead81843 years ago Pesa wanatoa kwa wenyewe ni uongo, maonyesho. Mbona hamupeleki kwa maskini mkazirusha kama hivyo.
  • @
    @evasadala44093 years ago Hawa ni vikundi humteua mtu wa kutunza.
  • @
    @agnesayub10653 years ago Tabia ya kutunza pesa kwa namna hii sio nzuri. Its showing off amd most likely sio hela ya jasho lake. Maharusi na ndugu waliweka chombo cha kutoa mchango kistaarabu. 1
  • @
    @iradukundamike53703 years ago Bira haya unatowa salam namatako yote inje we esma. 1
  • @
    @happinessmwenda27733 years ago Tusisahau kujenga nyumba hivi vinapita. 2
  • @
    @ayshah.81233 years ago Kunawa watu wanahitaji hiyo pesa kama watoto zeruzeru wanahitaji miwani nguo chakula na vifaa vyashule pia ulinzi kuliko kumwaga pesa hivyo hamujuwi kama munakufuru mungu. 1
  • @
    @ayshah.81233 years ago Siwezi kumaliza kuangalia ujinga huu sikujuwa kama ikikuwa hivyo bongo. 1
  • @
    @mwinyikadhi28703 years ago Ujinga huu jpm alikua haitaki na ulikua haupo kabsaa. Lkn tokea huyo mwamba afariki upuuzi huu unajirudia tena. 2
  • @
    @azzamahamdu70393 years ago Irene tall lady, boss lady. Ila irene haya bana hana pesa afu lete pochi. Hata pochi haibebwibora esma kaaza kujitetea yy anausika na biashara ndogondgoesma kapagawa anaon . ...Expand 1
  • @
    @azzamahamdu70393 years ago Irene tall lady, boss lady. Ila irene haya bana hana pesa afu lete pochi. Hata pochi haibebwibora esma kaaza kujitetea yy anausika na biashara ndogondgoesma kapagawa anaon . ...Expand 1