🔴#LIVE: WAZIRI AWESO AMBANA KIONGOZI ALIYEMDANGANYA, Ampigia SIMU KATIBU MKUU - "WAONDOE"...
WAZIRI wa Maji, Jumaa Aweso, ameendelea na ziara yake ambapo amekutana na Madudu baada ya kiongozi kumdanganya, Waziri Aweso kutokana na hayo amemuagiza Katibu mkuu wa Wizara kufumua uongozi DDCA..
⚫️ Kwa UPDATES zote, Download GLOBAL APP:
⚫️ ANDROID:http://bit.ly/38Lluc8
⚫️ iOS:https://apple.co/38HjiCx
⚫️ VISIT AMAZON: https://www.amazon.com/shop/globaltvonline
⚫️ JE, NA WEWE UNA HABARI?
⚫️ WASILIANA NA GLOBAL TV ONLINE ( +255 784 888982), ( +255 713 837506)
⚫️ Email: globaltvbest@gmail.com OR abbymrisho@gmail.com
⚫️ OUR PLAYLISTS:
⚫️ HABARI MPYA DAILY:shorturl.at/mnux2
⚫️ HISTORIA ZA VIONGOZI ZA KUSISIMUA: http://bit.ly/mikasa_ya_kusisimua
⚫️ GLOBAL RADIO TV: http://bit.ly/255globalradio
⚫️ EXCLUSIVE INTERVIEW: http://bit.ly/exclusive_interviews
⚫️ Subscribe Global TV http://bit.ly/globaltvonline
@mariamjuma41363 years agoMwalimu na wanafunzi jmn mbadiriki ss izi zama nyingine watu wazima na family zenu si aibu iyo wajibikini jmn kazi ni zamana kazi id="hidden1" ni ibada fanyeni kazi kwa uadilifu pole sn mh aweso unajizibiti at hasira zako maana unaweza kurusha at kofi kwa hasira mungu akulinde. ...Expand
@
@tumahamza89723 years agoAnatamani ardhi ipasuke atumbukie. Hivi kwanini watu hawataki kubadilika? Wanafikiri watasema uongo na waziri aitikie tu. Sie kipindi hiki. Hizo zam id="hidden2"a zilishapita. Sasa hivi kazi, maelezo kwa evidence. Safi sana. Vijana oyeee. ...Expand
@
@edyhasan90713 years agoAlie sikia kuwa mimi nataka niwasaidir ndio maanaa nini tenaa hi utafelii waziri utatumbiwaa.
@
@charesslutandula2459last yearHao wamekalia uchumi hata mishahara wangejilipa wenyewe.
@
@tumahamza89723 years agoTena huyo peter anaonekana ndio kiongozi wa uwongo.
@
@mankamassawe12663 years agoAuwe comments tuu mimi hoi binadamu tuna kaz sana mtu hujajua chanzo unakurupuka kujibu na kufurahia eh kwel hii ndio tz.
@
@ameenaabdood29743 years agoMkulya bishoo km muhaya lkn unapiga kz vzr nakukubali nitakupa mwanangu wa kiahaya bila mahali.
@
@abiollashayo56982 years agoUkubwa rahahata wakubwa zako, vijana rika lako. Yaan raha utamu.
@
@ameenaabdood29743 years agoYn ataviongozi wengine waige mfano wako.
@
@muebraniamuebrania1453 years agoViongozi wa juu nikama mko na dhamira ya kufanya kazi km mh rais alivyodhamiria kutusaidia raia, lakini mliowaweka uko chini wengi niviongozi wetu, safari ya maendeleo bado ngumu sana.
@
@edwinmbelle42073 years agoWaziri tunaomba tusambaziwe maji yombo vituka, buza dsm ni miradi wa siku nyingi sana!
@
@catherineplatnumz33093 years agoMuheshimiwa waziri mwenyezi mungu akupe nguvu daima kweli amekuongopea lakini umeweza kumsamehe inchji ila siku nyungine asirudie mimi kama raia wanchi hii akirudia tena kukudanganya nitakukumbusha ili umuondoe kazini. 3
@
@jenifamtima93253 years agoYaani ndio rahaa ya kuwa na mawaziri vijana. Babu kama ufanyi mazowezi leo utaipata. Hahahaa! Akuna kitu hapo wanadanganya, jana wamemdanganya rais id="hidden5" eirpot leo waziri. Tanzania yetu. Awaishi awoo wako kama vile mchwa, madudu tupu, kaguweni na elimu zao wanapeana kazi kienyeji,. ...Expand1
@
@mariamjuma41363 years agoMwalimu na wanafunzi jmn mbadiriki ss izi zama nyingine watu wazima na family zenu si aibu iyo wajibikini jmn kazi ni zamana kazi id="hidden6" ni ibada fanyeni kazi kwa uadilifu pole sn mh aweso unajizibiti at hasira zako maana unaweza kurusha at kofi kwa hasira mungu akulinde. ...Expand
@
@tumahamza89723 years agoAnatamani ardhi ipasuke atumbukie. Hivi kwanini watu hawataki kubadilika? Wanafikiri watasema uongo na waziri aitikie tu. Sie kipindi hiki. Hizo zam id="hidden7"a zilishapita. Sasa hivi kazi, maelezo kwa evidence. Safi sana. Vijana oyeee. ...Expand
@
@jenifamtima93253 years agoYaani ndio rahaa ya kuwa na mawaziri vijana. Babu kama ufanyi mazowezi leo utaipata. Hahahaa! Akuna kitu hapo wanadanganya, jana wamemdanganya rais id="hidden10" eirpot leo waziri. Tanzania yetu. Awaishi awoo wako kama vile mchwa, madudu tupu, kaguweni na elimu zao wanapeana kazi kienyeji,. ...Expand1
Related videos for WAZIRI AWESO AMBANA KIONGOZI ALIYEMDANGANYA, Ampigia SIMU KATIBU MKUU - WAONDOE:
watu wazima na family zenu si aibu iyo
wajibikini jmn kazi ni zamana kazi id="hidden1" ni ibada fanyeni kazi kwa uadilifu
pole sn mh aweso unajizibiti at hasira zako
maana unaweza kurusha at kofi kwa hasira mungu akulinde. ...Expand
watu wazima na family zenu si aibu iyo
wajibikini jmn kazi ni zamana kazi id="hidden6" ni ibada fanyeni kazi kwa uadilifu
pole sn mh aweso unajizibiti at hasira zako
maana unaweza kurusha at kofi kwa hasira mungu akulinde. ...Expand