Bwana wa mabwana
Mungu wa miungu
Hakuna kama wewe popote
Umeinuliwa juu sana
Mambo yako ni makuu
Hakuna kama wewe popote
Naliinua jina lako
nikisema wewe ni mkuu
Ninalisifu jina lako
nikisema wewe ni mkuu
Wewe ni mkuu Hakuna kama we
Wewe ni mkuu tunakusifu we