@marymarwah8285last monthMm nimeonta nimeokota cheni ya shingoni ya dhahab na silver.
@
@emmanuellaban16353 years agoAll the best our shekh Allah will continue bless you and your family.
@
@user-wi6vv5ye9h7 months agoAsalam aleykum warahmatullah wabarakatuh, nimikuwa naulizo mimi niliota Niko na kipate kikubwa cha zahabu, alakini pako mwenye iko ananikimbiza juu Ani nyaganye ni kaificha, nikaenda na vipande vidongo inamanisha Nini?
@
@AlMANSOORKISONGERA-hp8ctlast yearNimeota nimevaa pete ya dhahabu inang'aa sana watu mpaka wNanishanga
@
@dab88593 years agoA.alaykum shekhe mm nimeota niko dka la Dhahbu lkn sikununua nliona tu mkna dka n vtu vyke nikaondka nlikua n mmngu nimeota leo
@
@hemedhaulee2 years agoMbna kila watafsiri wapo tafauti kila mtu anatafsiri kivyake kuusu doto ya dhahabu 3
@
@user-xs5sq4he5u3 months agoJe ukiota umevaa mkufu wa dhahabu maana yake
@
@jolieingabire19923 years agoMimi nimeota Leo nimeokota ma cheni ma pete kibao za ile nyeupe sijui kwa ki swahiri wanaziita aje?
@
@awaahassan9362 years agoMimi nimeota nimevaa Pete ya dhahabu tupu yaani Pete yote ilikua dhahabu
@shehanimzee9953last yearHuyu shekh yeye anazungumzia zahabu tu Hana chengine
@
@hafswaabdallah61142 years agoSheikh nini mana ndoto kuchuma majani tafauti
@
@suma6433 years agoMmmh mbona inatisha sasa minliota nlivaa cheni ya dhabu wezi wakataka kunipora hawakufanikiwa halafu hautupi majibu ya ndoto zetu tukiziandka 1
@
@aboudjuma5233 years agoShee nin maana yakuota umepata madini ya rubie
@
@yunisalfarsi61683 years agoNini maana ya kuota unagawa pesa kwa watu
@
@MukamusoniHawa-cj2yc8 months agoMimi nimeota Nikiona shimo nilivochungulia ndani ya tundu la shrimo nikaona ndani ya shimo hilo kuna mto unamaji yanatembea Kati ya hayo maji kuna thahabu kubwa Ina maana gani?
@
@awaahassan9362 years agoKuona saa za dhahabu na za fedha hii nayo inamanisha nini shekh
Related videos for HIZI NDIO TAFSIRI ZA NDOTO YA DHAHABU | UKIOTA DHAHABU | MIKOSI, NJAA, MABALAA, SHIDA, UFALME NK.: