Duration 1:55

SWAHILI FILM CLASS: Jifunze namna ya kutunga na kuandika story za filamu

3 040 watched
0
56
Published 30 Dec 2020

Darasa la filamu kwa lugha ya kiswahili linalotolewa kwa njia ya mtandao na Muongozaji wa filamu wa kimataifa Timoth Conrad linaanza Rasmi tarehe 4, unaweza kujisajili katika darasa hilo kwa kutembelea website ya https://www.swahilifilmclass.com Tukutane Darasani

Category

Show more

Comments - 6