Duration 6:52

MICHEZO Magazetini Jumapili :Simba Yashusha Mnigeria

9 649 watched
0
24
Published 24 Jun 2018

Simba imeshusha striker mkali wa kimataifa kutoka Nigeria kuja kusaidia safu ya ushambuliaji katika timu hiyo ikiwa ni harakati za usajili kujiandaa na michuano ya kimataifa mwakani. Diamond apata ajali baada ya mwarabufighter naye kupata ajali mbaya wakati kombe la dunia likinoga huko urusi/Russia.Hizo ndio habari kubwa Magazetini leo Jumapili 24/6/2018.

Category

Show more

Comments - 2