Duration 49:26

MAARIFA YANAVYOWEZA KUKUSAIDIA KUZISHINDA NGUVU ZA GIZA -PASTOR SUNBELLA KYANDO

35 690 watched
0
450
Published 16 Sep 2021

Hosea 4:6 [6]Watu wangu wanaangamizwa kwa kukosa maarifa; kwa kuwa wewe umeyakataa maarifa, mimi nami nitakukataa wewe, usiwe kuhani kwangu mimi; kwa kuwa umeisahau sheria ya Mungu wako, mimi nami nitawasahau watoto wako. Maarifa ni taarifa sahihi juu ya jambo fulani.Taarifa sahihi ni ufunguo ambao utakusaidia kufungua malango ambayo unapaswa kuingia. Watu wanaozungumziwa hapa sio watu wasiomjua Mungu,Mungu anawaita "watu wangu" maana yake ni watu wanaomjua Mungu.Na anavyosema kuwa "umeyakataa maarifa..." ni kwamba aliwapelekea hao watu maarifa lakini wakayakataa na athari yake ndio hiyo wanaangamizwa.Na Mungu anasema kwa sababu hiyo Yeye(Mungu) atawakataa wasiwe makuhani wake. Maarifa sahihi ni muhimu kwa sababu yatakufanya ufanye kazi yake kwa urahisi na ufanisi. Katika somo hili utajifunza maana halisi ya maarifa,ni maarifa gani unayopaswa kuwa nayo,kwanini Mungu anataka uwe na maarifa sahihi, na athari za kukosa maarifa. UNAWEZA WASILIANA NASI AU KUTUMA SADAKA YAKO KWA NAMBA HII : 0657 173 322 Unaweza kutufuatilia katika mitandao yetu ya kijamii Like our Facebook: https://www.facebook.com/Therealityof ... Follow our Instagram: https://www.instagram.com/realityofch ... Subscribe our YouTube: /channel/UC67L ... Also Subscribe Roc worshippers youtube channel:/channel/UCyVhAzjcFaJH7lxgiMQviGQ and Subscribe Pastor Sunbella Kyando YouTube /channel/UCoBuJc3EbjF6r90ov6B3N0Q

Category

Show more

Comments - 66
  • @
    @patrickmwakai5545last month God bless you the man of God i like your teachings ,i am in kenya the way we teach it's really kabisa ,natamani nipoker upako Kama wako ,just pray for me 1
  • @
    @tumajunior60803 years ago Asante poster ubarikiwe mungu azidi kukutumia nikiwa muislam umenifundisha jinsi ntaongeza maarifa ktk swala zangu Asante sanaaaa 🤲🤲🤲 5
  • @
    @ruthie84663 years ago Just discovering this great man of God,he is awesome,baraka,more grace. 6
  • @
    @andrewsenyagwa4 months ago Sure relationship with holy spirit is the key 1
  • @
    @mariamzambi19953 years ago Yesu nipe maarifa ya jinsi ya kujiombea nipate uponyaji. Najiungamanisha na madhabahu hii nipate kibali cha uponyaji wa mwili na wa roho AMEN. 1
  • @
    @veronikaaugustino22583 years ago Asante MUNGU kwa Kila maarifa ktk Kila NENO lako Nisiangamie mm na family yangu AMINA 2
  • @
    @mustafagehonde11543 years ago Somo zuri Sana nimelipenda limenifundisha Mambo mengi ubarikiwe mtumishi wa Mungu 2
  • @
    @elvaidaernest62103 years ago Aminaaaa ubalikiwe sanaa mtumishi wa Mungu nimebalikiwa sanaa 2
  • @
    @ntulisuzan8972 years ago Ubarikiwe mtumishi mifano inatufanya tukuelewe sana 🙏 1
  • @
    @lydiawasai94393 years ago Mungu akueke na azidi kupanua your ministry. B blessed 🙌 😇 🙏 thanks so much 2
  • @
    @geendaki76783 years ago Namuomba MUNGU aniwezeshe siku moja kukutana na wewe Mtumishi Sunbella hakika naamini nami nina Jambo nahitaji kupokea kutoka kwako Mtumishi wa Bwana 🙏🏾🙏🏾🙏🏾.
  • @
    @amosjblack96143 years ago Asante sana mtumishi wa Mungu mafundisho yako yananijenga sana kiroho
  • @
    @nasrakitwana47442 years ago Ubalikiwe mtumishi kwa masomo yako hakika yananijenga sana
  • @
    @liliankeyabaraka81952 years ago Asante sana pastor nabarikiwa sana na MUNGU akubariki sana 🙏💕
  • @
    @leytcastle94023 years ago Namwomba Shetani mmoja😃😃 ... Barikiwa Mchungaji 1
  • @
    @aisiamkonyi49772 years ago Ameen, umenibariki sana pastor sunbella.ubarikiwe
  • @
    @janembalinga70742 years ago Ameen asante kwa hili somo sina cha kuongea zaod ya kusema asantee Yesu
  • @
    @cocubanza10493 years ago Mtumishi ,Bwana yesu asifiweee...
    Mm nahitaji maombi kwa habari ya ndoto niliyoota nikwamba niliota nimeng'atwaa mkononii na mwanangu halafu baada ya siku moja sehemu ya mkono niliyong'atwa ikaanza kuuma..
  • @
    @philipmaina90462 years ago amen man of God am blsd from Kenya,am a pastor I wish i ca meet you one day for impartation
  • @
    @lucilamushi28943 years ago Nimebarikiwa Sana na Neno zuri la maarifa.Mungu akubariki Mtumishi wa Mungu.
  • @
    @stellanamunaba8132 years ago Amen.Thankyou LORD for using your servant to help me understand well your word.
  • @
    @hendrykingmecky39223 years ago Amen somo lilikuwa ni moto nimelielewa 2
  • @
    @4gtradingimpex201last year wakati nafuatilia somo ulipofikia swala la kuhani kabra hujamnyanyua mimi nimeletewa picha haraka huyo mtumishi amekuja kutoa ibada kwangu na anaondoka na binti zangu kutoka nyumbani kwangu kwenda nao sehemu kwa ajili ya masomo zaidi.Naamini haya ni maarifa yanaweza kutoa kutoka sehemu fulani. ...
  • @
    @salamamapendo64613 years ago Jambo jina langu ni Salama Mapendo nawapata nikiwa marekani naitaji namba ya mtumushi uyu Mungu kwa musaada ya maombezi
  • @
    @cocubanza10493 years ago Halafu baada ya siku moja mkono huo wa kuliaa kidole cha pili baada ya kidole gumba kikanzaa kuvimbaa sehemu ya ukucha, huku maamivu ni makali saana...mdudu namsikia anatemvbea mbele mara nyuma, na ukucha unazidi kuuma...