Duration 12:55

ALIKIBA: SIWEZI KUACHA MUZIKI / ANAKUJA JUU, ATAINGIA ROCKSTAR

57 476 watched
0
1.2 K
Published 8 Oct 2018

Alikiba afanya INTERVIEW baada ya muda mrefu kidogo alipotoa wimbo wake wa Mvumo wa Radi, Safari hii amekuja na KINGS MUSIC RECORDS na Kuwatambulisha Wasanii wake wapya, Aongelea Kuhusu Ommy Dimpoz, RockStar, Ray C na Muziki wa Bongo. Subscribe hapo chini, Angalia show mwanzo mwisho, Gonga Like, Angusha Comment yako kisha Share Link na wenzako kwa Whatsapp, Facebook au Twitter. Ni follow kwenye mitandao ya kijamii. http://www.instagram.com/lilommy http://www.twitter.com/LilOmmy http://www.lilommy.com for more interviews, hot news, exclusives, music, videos, artists profiles, gossip etc tembelea http://www.lilOmmy.com

Category

Show more

Comments - 254