Duration 5900

Droo ya sita ya kuwatafuta washindi wa Twende Mjini na M-Pesa sabasaba

59 watched
0
0
Published 22 Jul 2021

Yaliyojiri ndani ya viwanja vya #sabasaba kwenye droo ya sita ya #twendemjininampesa ambapo tumefanikiwa kuwapata washindi sita ambao kati yao, watano wamejishindia bodaboda huku mmoja akiingia mjini na bajaji mpya kabisa aina ya TVS King. Endelea kutumia M-Pesa kukamilisha huduma za kifedha ujiongezee nafasi ya kushinda. #twendemjininampesa #pesanimpesa

Category

Show more

Comments - 0