Duration 2:54

Wizi wa mabavu katika duka la Mpesa eneo la Kinoo

674 235 watched
0
1.4 K
Published 11 Jun 2016

Je mtazamaji umewahi kushuhudia wizi wa mabavu? Hilo lilitokea katika eneo la Kinoo ambako mali ya takriban shilingi laki tatu unusu iliibwa katika duka la Mpesa huko Kinoo wezi wakinaswa na kamera za CCTV. Mwanahabari wetu Hussein Mohamed anatupa taarifa hiyo kwa kina. Watch KTN Live http://www.ktnnews.com/live Watch KTN News http://www.ktnnews.com Follow us on http://www.twitter.com/ktnnews Like us on http://www.facebook.com/ktnnews

Category

Show more

Comments - 58