@zuleyfatkihari36504 years agoPole kwa kuumia kidole na asante kwa kujali maana hukujali umeumia na bado ukatuletea clip. 4
@
@zainabukaz59072 years agoKama sna shampoo ya alovera naweza kutumia shampoo yoyote unawe. 3
@
@songorokasisiko51288 months agoMchanganyiko huu naweza kuchangaya na steaming ya dukani?
@
@fatmajaffar91183 years agoJe ukitengeneza hivyo waeza ku bakisha uka tia na kesho. 3
@
@neemakileo39839 months agoUnatumia kia siku mpaka wiki iishena je hupaki mafuta yoyote wakati unaendelea na zoezi hili?
@
@parisspatz18802 years agoUnavyo menya hivyo inatakiwa na mm nifunge plasta kidoleni. 1
@
@hussnabakary35074 years agoVip kama watumia shampoo tofaut na co a lover.
@
@giftsirya26632 years agoKm huna sabuni ya maji unaeza tumia ya kipande.
@
@kikie_chyna4 years agoSasa hayo ni matone machache ya mafuta? 3
@
@fatmajaffar91183 years agoKama huna shampoo waeza kuosha na sabuni ya maji. 4
@
@al.nufaisykhamisi24982 years agoMm naulizia hiyo dawa uliweka kwa kijiko jee ni kahawa hiyo or ni dawa gani mana sijaielewa hiyo dawa ya unga niambie.
@
@bintrashid69673 years agoJe kama sina mafuta ya nazi naweza tumia ya zaitun.
@
@hellenashely21674 years agoSorry hiyo kitu nyeusi ni nini? Hukuandika. 2
@
@maurinesimiyu91154 years agoNakama sina mafuta ya nazi nitafanya aje. 1
@
@rahmandegeulaya39273 years agoKwa iyo mgululizo lila ck at mara ngap kwa wik.
@
@msport37194 years agoKaka nicheck no. Hii whatsapp 0674889037 kuna jambo tuzungumze.
@
@tinabrown49493 years agoWiki moja mfululizo ama kila baada ya wiki? 3
Related videos for Jinsi Ya kukuza Nywele Kwa Haraka Na Kuzifanya Kuwa Nyeusi Kwa Kutumia Kitunguu Maji Tuu: