Duration 6:48

Simjui Zari, Ila Wema Nitamsaidia - KAJALA

123 892 watched
0
516
Published 7 Jun 2018

"Simjui Zari, Ila Wema Nitamsaidia" - KAJALA STAA wa Bongo Movies, Kajala Masaja ‘Kay’ amesema anaweza kumsaidia jambo rafiki yake wa kitambo Wema Sepetu lakini siyo mzazi mwenzake na Diamond, Zari kwani hamjui wala hajawahi kumsaidia kwa lolote. Kajala amesema hayo wakati akipiga Stori na Global TV Online usiku wa kuamkia leo kwenye Bethidei ya Gabo Zigamba, baada ya kuhojiwa iwapo ikitokea Wema na Zari wote wana matatizo na yeye Kajala akawa na nafasi ya kumsaidia mmoja wao anemsaidia yupi. “Sijui niongee je, lakini nitamsaidia Wema, siwezi kumsaidia Zari kwa sababu sijawahi kumjua wala hajawahi kunisaidia kwa lolote,” alisema Kajala. Siku za hivi karibuni, ukiachilia mbali Hamisa Mobeto, Wema alikuwa akipewa nafasi kubwa ya kuolewa na Diamond baada ya kuachana na Zari, lakini stori za chini ya kapeti zinadati tayari Diamond amesharudiana na Zari na sasa hivi wote wapo Afrika Kusini wanajiachia na familia yao ya watoto wawili. Instal GlobalPublishersApp Android: http://bit.ly/2AAQe1d iOS: http://apple.co/2Assf4M Subscribe /c/uwazi FACEBOOK: https://www.facebook.com/Globalpublis ... TWITTER: https://twitter.com/GlobalHabari Visit https://globalpublishers.co.tz/, Subscribe /c/uwazi1 kupata video nyingine za aina hii, subscribe kwenye chanell yetu kwa kubofya… /c/uwazi1 /c/uwazi1 /c/uwazi1 WEBSITE: https://globalpublishers.co.tz/ FACEBOOK: https://www.facebook.com/Globalpublis ... TWITTER: https://twitter.com/GlobalHabari INSTAGRAM: https://www.instagram.com/globalpubli ..

Category

Show more

Comments - 140