KKKT USHARIKA WA KIJITONYAMA : IBADA YA MORNING GLORY 03 / 01 / 2022
KICHWA CHA SOMO: VITA LANGONI
( MWANZO WA MIEZI )
Waamuzi 5 : 8
Kutoka 12 : 1 - 2
2 Wafalme 4 24
Isaya 60 : 18
Wazo: Wazo: Endelea mbele, usikubali Kupunguziwa Mwendo
Waamuzi 5 : 8
8 Walichagua miungu mipya, Ndipo kulikuwa na vita malangoni; Je! Ilionekana ngao au mkuki Katika watu elfu arobaini wa Israeli?
Kutoka 12 : 1 - 2
1 Bwana akanena na Musa na Haruni katika nchi ya Misri, akawaambia,
2 Mwezi huu utakuwa mwanzo wa miezi kwenu; utakuwa ni mwezi wa kwanza wa mwaka kwenu.
2 Wafalme 4 : 24
24 Akatandika punda, akamwambia mtumishi wake, Mwendeshe, twendelee mbele. Usinipunguzie mwendo, nisipokuambia.
Isaya 60 : 18
18 Jeuri haitasikiwa tena katika nchi yako, Ukiwa na uharibifu hazitakuwa mipakani mwako; Bali utaziita kuta zako, Wokovu, Na malango yako, Sifa.
Mhubiri : Mwl. Eng. Goodluck Mushi
Smu :+255655516053, +255754516053
YouTube : Rev. Dr. Eliona Kimaro TV
Barua Pepe: elionakimaro555@gmail.com
Category
Show more
Comments - 30
Related videos for KKKT USHARIKA WA KIJITONYAMA : IBADA YA MORNING GLORY 03 / 01 / 2022: