Duration 3:7

Jenerali Mabeyo awataka Askari wa Uhamiaji kuacha tamaa

6 331 watched
0
30
Published 17 Dec 2019

Mkuu wa Jeshi la Ulinzi wa Tanzania JWTZ Jenerali Venance Mabeyo amewataka askari wa uhamiaji kuacha tamaa na badala yake kuweka ustawi wa nchi mbele na uzalendo mbele katika kushughulikia uvamizi wa mipakani ili usilete madhara nchini.

Category

Show more

Comments - 0