Duration 1:2

ATHARI ZA KIPINDI CHA UNYONYESHAJI

196 watched
0
2
Published 15 Apr 2021

#Sebuleni #ZaidiNaZaidi Je, kuna changamoto zozote zinazotokana na unyonyeshaji kwa wakina Mama kiasi kinachopelekea baadhi ya wanawake kutowanyonyesha watoto wao ipasavyo? Usikose kutazama Sebuleni Alhamisi hii na Gift Swai & Kevin Lameck LIVE on DStv channel namba 294 kuanzia saa 1 hadi saa 4 kamili za asubuhi tukiwa na Daktari Bingwa wa Magonjwa ya wanawake nchini akitupitisha kwenye hili.

Category

Show more

Comments - 1