Duration 2:8

SEMINA ELEKEZI KWA KAMATI ZA KUDUMU ZA PAC NA LAAC

101 watched
0
0
Published 28 Jun 2021

Waziri wa Nchi Afisi ya Rais Katiba, Sheria, Utumishi na Utawala bora Mh. Haroun Ali Suleiman amesema uimara wa kamati za kuchunguza na kudhibiti hesabu za Serikali (PAC) na LAAC za Baraza la wawakilishi umeisaidia Serikali kuweka nidhamu ya matumizi ya fedha na kuhakikisha zinatumika kama zilivyoainishwa. #zbctvonline#zbczanzibar.

Category

Show more

Comments - 0