Duration 3:21

Mzozo kati ya Marekani na Iran waendelea kwenye mitandao ya kijamii

49 093 watched
0
122
Published 24 Jul 2018

Viongozi na raia kutoka sehemu mbalimbali za dunia wanaendelea kutoa maoni yao kuhusu mgogoro mpya kati ya Marekani na Iran. Originally published at - https://www.voaswahili.com/a/4497803.html

Category

Show more

Comments - 42
  • @
    @abullahkabaka87745 years ago Mungu awahifadhi waisilamu kwa mzozo na makuruhu amin. 4
  • @
    @mohdnyambura68595 years ago Mmarekani kweli fitina anaziambia nchi wasinunue mafuta ila iran ishuke kiuchumi mungu ibariki araan amiin. 8
  • @
    @faridauk44676 years ago Du ayomajanga mungutysaidie yasijenakwetu.
  • @
    @immamwandolela68514 years ago Malekani uomtego angalia duniasasa uingie vitani. 1
  • @
    @abdulosman78665 years ago Piganeni mfutike katika ramani ya dunia shetani nyinyi mola atuhifadhi. 2
  • @
    @musamwapinga3616 years ago Fahari wapiganapo ziumiazo ni nyasi. Enyi mataifa mlio endelea wapi mnako elekea? Mtawaangamiza watu wasio na hatia bila faida yeyote kwa taifa. 1
  • @
    @AndrewMugaya5 years ago Naomba kujua
    voa sauti ya america kwa tanzania matangazo haya yanarushwa kupitia channel gani?
    1
  • @
    @ancomagu98935 years ago Sijawa kusikia mmarekani kawekewa vikwazo hata siku moja.
  • @
    @beatusikessy97604 years ago Piganeneni ilanajua mkubwa nimkubwa tuu hafaikutemea mate kama leo anafaa mmalize asikusumbue kilasiku vikwazo tafutawenzio muungane umpege marekane ww . ...Expand
  • @
    @user-eo4ko9kt1e4 years ago Allah ibariki iran amiin wapi islam dua zenu kwa iran inshaallah hao american makafiri wakafie mbali mavi mkundu.
  • @
    @charlowmathew97625 years ago Iran mtagongwa vibaya sana nawakubwa nyiye wa magaidi mbwa nyiye mnaoisaporti iran. 5
  • @
    @micamathew64335 years ago Mi ntakachosema ni kwamba taifa hilo la iran watulie tu mana watakujafanywa hamna, ingefaa sana muwasikilize wakubwa zenu ili kuepusha vita, vita ni hasara . ...Expand 2
  • @
    @alihijiiddi89775 years ago Bora wanafiyz kuliko shetani zionisten. 1