Duration 12:17

Bodi ya Tanesco yamuweka mtu kati injinia,yaibua hoja kwenye miradi Njombe

37 watched
0
0
Published 31 Jul 2021

Bodi ya wakurugenzi wa shirika la umeme Tanzania (TANESCO) iliyoongozwa na mwenyekiti wa bodi hiyo Dkt, Alexander Kyaruzi imemaliza ziara yake ya siku mbili mkoani Njombe kwa kutembelea mradi wa kufua umeme kwa maporomoko ya maji ya mto Ruhudji wilayani Njombe (megawati 358) pamoja na Rumakali (megawati 222) uliopo wilayani Makete na kufanikiwa kujenga hoja mbali mbali kwa injiniaToto Zedekia msimamizi wa muda wa miradi hiyo ili bodi hiyo iweze kuitambua miradi

Category

Show more

Comments - 0