Duration 6:17

SHULE SITA KANDA YA ZIWA KIDEDEA MATOKEO DARASA LA SABA

3 931 watched
0
9
Published 23 Oct 2018

Baraza la Mitihani Tanzania (Necta) limetangaza matokeo ya kuhitimu elimu ya msingi ambapo ufaulu umepanda kwa asilimia 4.96 kwa mwaka 2018. Ufaulu wa masomo ya Kiingereza, Hisabati, Sayansi, Maarifa ya jamii wapanda wakati Kiswahili watajwa kushuka.

Category

Show more

Comments - 0