Duration 26:58

Highlights | Hivi ndivyo Simba ilivyoitenda Platinum (4-0) - CAFCL

2 114 200 watched
0
5.5 K
Published 6 Jan 2021

Tazama namna mnyama Simba alivyoinyanyasa FC Platinum kwa kuitupa nje ya Ligi ya Mabingwa Afrika, kwa jumla ya mabao 4-1, baada ya kuwachapa Wazimbabwe hao mabao 4-0 dimbani kwa Mkapa kwenye mchezo wa mkondo wa pili. Tufuatilie kwenye mitandao mingine ya kijamii:- ►INSTAGRAM: https://www.instagram.com/azamtvtz/ ►INSTAGRAM: https://www.instagram.com/azamsports2/ ►TWITTER: https://twitter.com/azamtvtz ►FACEBOOK: http://www.facebook.com/azamtvtz ►WEBSITE: http://www.azamtv.co.tz

Category

Show more

Comments - 831
  • @
    @rehemambwanji16463 years ago Baraka mpenja kiboko ya watangazaji mungu akuongezee kipaji zaidi upo vizuri Simba kiboko yao 14
  • @
    @salvatorymogesi64763 years ago Ahsante sana Mungu wetu kwa kuiwezesha Timu yetu pendwa Simba SC kupata Ushindi huu.
    Tunaomba utufanikishe tuendelee mbele hata tufike Nusu Fainali.
    Hongereni sana wachezaji wetu hakika.
    13
  • @
    @andulilemwakihabha20483 years ago Round hiii kombe la mabingwa barani Africa linatua bongo Tanzania Simba tunachukua hii ndoo this is Simba nguvu moja 💪🏼 7
  • @
    @simonjustin59213 years ago MTANGAZAJI umeonesha uzalendo mno,hilo gori la 3 umemuita bwalya kwa sauti ya hisia kali alafu baadae bocco akamaliza kazi, Hadi sauti ikakukauka wee kweli ni mzalendo❤️❤️🙏🙏 17
  • @
    @afterfull-time13483 years ago Chama la waelewa simba 🦁🦁 wachezaj wote n wazuri mpaka unashindwa umuchomoe nan🏆🏆🙏🙏💪 7
  • @
    @denisdejo50333 years ago Lately we have been complaining alot concern our coach Sven, but trust me this coach of ours is great.
    Did you see that formation Simba were playing yesterday 3-5-2 is similar formation that gave Arteta success in his earlier tenure at Arsenal F.c before the current 4-2-3-1.
    He encountered our weaknesses by attacking them while steadying the ship by playing Nyoni in holding midfielder position of which will free our attacking players to concentrate on attacking.
    Not every coach can see that but Sven saw that, tactical was spot on.
    But defensively we still have to improve drastically, otherwise we have no chance in group stages, there’s alot to be desired.
    Special mention, Sven, Zimbwe, Kapombe, Luis, Larry & Chama. And
    Nyoni that penalty was crucial to our success, how i wish u were still 23 years. Keep going Ndemla & Ami, brothers this is ur time and u have got to grab it with both hand.
    This is Simbaaaa, Mnyamaaa!.
    Thank you Big Boss Mo!.
    ...
    12
  • @
    @zakariaalfred31673 years ago This is SIMBA SPORTS CLUB my favorite club 7
  • @
    @hasanissantambarasamata34193 years ago Asante mungu kwakuwa ulikuwa upande wetu Simba🙏🙏🙏 12
  • @
    @JK-uq1tv3 years ago Larry Bwaliya atakuja kuwa mchezaji bora Simba hifadhi haya maneno yangu. 42
  • @
    @ferouzmasoud48702 years ago Had leo 8-2-2022 bado naichek hii game
    Simba hii ilkuwa tamu Sanaa
    7
  • @
    @hamisikijombo60442 years ago Yaani hii game kila nikiwa na stress narudi kuiangalia tena😂😂😂😂😂😂😂😂 ilikiwa tamu mnoo 6
  • @
    @simonjustin59213 years ago KOSA la yule beki ni kumg'ang'ania kapombe,lkn angemvuta mara moja akamwachia fasta isingekuwa vile lkn tatzo lake alimshkilia kwa sekunde kazaa na kapombe alikuwa kwenye mwendo mkali kwahyo ikapelekea kuanguka ndan ya box,ni penalty km mnabsha kachezesheni ninyi😃😃,tunashukur kwa juhud kubwa za wachezaji na viongozi wa simba,bendera ya nchi imepepea vyema❤️❤️🙏🙏 ... 9
  • @
    @mohamedmussa61703 years ago Kwa mwenye kujua kocha wa platinum alipo shinda kwao akawa hataki kuhojiwa na waandishi wa habari watanzania agonge like hapa dharau zimemponza 30
  • @
    @dino.enrico.39893 years ago Huyu luis haongelewi sana jamn. Huyu jamaa anaipenda simba hatari. Yuko radhi aumie kwaajili ya simba. Alafu anakimbia uwanja mzima. Mungu akubariki luis uendelee kuwepo kwenye klabu yetu pendwa. 11
  • @
    @wazirinyoso63053 years ago Mm nishabiki wayanga lakini simba imechi nilipenda sana kama ww unapenda mpira mzuri gonga 31
  • @
    @nassoromhina37293 years ago Ndugu zangu wasimba hebu like bac apa tujuane 80
  • @
    @eligiusnestory15713 years ago WIDA safi sana this is another level one love Simba 🦁 4
  • @
    @maxmillianemanuel37676 months ago Leo naangalia hi mech war in dar tarehe 11/10/2023 npen like zangu😅 3
  • @
    @wasafimedia53993 years ago Hiii Simba aipoiiii tupeni rahaaaaaaaaaaaa Simba nguvu moja 9
  • @
    @saidabdallah31933 years ago Smart tactics kwa Sven. Naona alishawasoma katika game ya kwanza wanajaa kati akaamua kuucheza mpira pembeni ili kuwatanua. Almost magori yote moves zimeanzia pembeni ama mpira ulipita pembeni kuingia kwenye box lao. Nice. 9
  • @
    @ramshetmlawa69952 months ago Tunao Angalia 2024 hii ndoilikuwa simbaaa 2
  • @
    @aminipanda247510 months ago yani dah nimerudi tena hapa Simba naipenda Sanaa, 1
  • @
    @evansmlalo40493 years ago Mimi ni Yanga kindakindaki lakini kiukweli Simba jana wamecheza mpira unaopendeza sana. Naiomba Yanga ijitahidi kuijenga timu izoeane kama hawa Vijana wa Msimbazi. Tusikimbilie kuchukua wachezaji nje wakati Tanzania tunavyo vipaji sana. ... 23
  • @
    @johnmbafu28823 years ago 😂😂😂😂😂 goli la tatu bwalya cjui alitokea wapi 😂😂😂😂 21
  • @
    @ferouzmasoud47413 years ago Asantee Sanaaa chama langu la SIMBA 🙏 kwetu soka kwao majungu 😂😂😂 12
  • @
    @bakarikisimbo73423 years ago Hatari sana hiyo onyango,kapombe,nyoni,wawq,miquissone,chama, bwalya,bocco,na wengine wote kazi nzuri 2
  • @
    @zaitunialliiy60752 years ago nani mwingne anatazama leo 06/01/2022 anniversary 12
  • @
    @jentihussein81793 years ago Am speechless over this match zaid ya kumshukuru Mungu, hongera mnyama 5
  • @
    @samanyaswai10 months ago Leo 07/07/2023
    Nani Anaangalia km mimi.
    5
  • @
    @emmanuelyj.m.mughanga10923 years ago Mwanaume huwa hatushindani na sidiria 😂😂😂😂 hii Ndo Simba Sc brother ❤️❤️🙏🙏 6
  • @
    @charlesally60283 years ago Mission done and complete as per team work 3
  • @
    @shamilabakari64203 years ago Jaman azam plz mutuwekeage bs full tunawaombea💪 25
  • @
    @mfudukilufi62693 years ago Azam asa mbna huwa mnakatisha matangazo kwaiy sie tunaekuwa safar atutakiwi kuangalia mechi zetu au kama na nyie shabiki wezangu wa Simba gonga like za kutosha hapaa amina 8
  • @
    @hamednassor371110 months ago Nan mwingine anaangalia hii mechi Leo Tarehe 24 /6/23 4
  • @
    @Newsaddict453 years ago Great players show up on great occasions. Chama is amazing. 3
  • @
    @khamicphilipoally58193 years ago Simba naipenda sana hii team nguvu moja 2
  • @
    @magrethandrew6812 years ago Nimerudi kuangalia baada ya chama kurudi Simba ili nijikumbushie Mambo yake 😅😅 14
  • @
    @mariapialakanje34463 years ago Mwenyewe binafsi naipenda sana Simba dah kunitenga nayo huwezi hakika 4
  • @
    @yusuphushaban95393 years ago Nimeamka tyu nikaanza kuangalia highlight apa 11
  • @
    @muhsinkassim83023 years ago Sahau kuhusu feints, touches and flicks za chama. Sahau kuhusu assist na shuti la bwalya, sahau kuhusu assist na goli la kapombe, sahau kuhusu coolness and calmness ya erasto wakat yupo under intense pressure ya kuhakikisha ana score lile tuta, sahau kuhusu up and down za zimbwe, sahau kuhusu tackling na headers za onyango, sahau kuhusu organization na communication ya wawa, sahau kuhusu pirika za ndemla na mugalu, sahau kuhusu damu alomwaga meddie na goli la boko, sahau kuhusu propaganda za manara na wida yake, sahau kuhusu uongoz, mipango na ahad zake, angalia dakika - jinsi Miquissone anavojituma ktk dakika ya 90 ya mchezo anawazidi nguvu, speed, kujitolea wachezaji zaid ya wanne wa platnamz kisha anapiga pasi sahihi. Well done. Kisha usisahau yote nilokwambia uyasahau zidisha na Sven, Mo na baraka mpenja ... 6
  • @
    @laizerboymathiasjr8633 years ago Lile tangazo la wida limenogesha goli la tatu so please leteni highlight nyingine yenye Hilo tangazo au tumeni goli na tangazo lake namimi nitasuuzika please 🙏🙏🙏🙏🙏 9
  • @
    @jamecjohn73183 years ago Baba levo alichukua jina la wimbo kwa mwamba SAUTI YA RADI MPENJA . PLATINUM SHUSHAA 4
  • @
    @kelvinngenzi85783 years ago This is Simbaaa oyeee noma sanaaa mwamba wa Lusaka 1
  • @
    @yustoyona8573 years ago Nimeamka kuangalia magoli ya simba...baadae tena nitarudi 13
  • @
    @kasanzumasunga18983 years ago I like Shomari Kapombe. Sio beki wa Kawaida kabisa 5
  • @
    @ferouzmasoud48702 years ago SIMBA 🦁 hii ilkuwa Moto 🔥 Sanaa viongoz wa Simba wanyeni usajil wa maana 2
  • @
    @jeremiajackson52823 years ago Simba tuna sifa sanaaa sio kwa kupambana huku 9
  • @
    @violaat7249last year 10/05/2023 nkikumbuka biriani hili ❤️❤️ 1
  • @
    @vennantmillanzi3973 years ago 🦁🦁 simba moja 2
  • @
    @kacherosimba57623 years ago kuna watu humu wana tamni waseme nne tuli bahatisha lakini wakikumbuka hata waotuli wafunga nne wana baki wana nyamaza tu😂😂😂😂😂😂😂 12
  • @
    @rehemaboniphace78342 years ago Who still here after the War in Dar🏹🔥🦁. 2
  • @
    @ngundejkassim32523 years ago rally bwalya ni fundi sana kwa upande wangu 7
  • @
    @ndoanirahaonlinetv50313 years ago Sasa chama ndio alimuona bwalya anakuja kwa spidi akaona bora amuache .na bwalya naye akaona asishinde ampe bocco 12
  • @
    @saluabdillahi80633 years ago This is all the way from Zanzibar bwana Simba mbingwa 2 dhahir another level 1
  • @
    @dratimanhospitallaboratory226810 months ago alikamwe kabla hajaenda Uto ama hakika ulkua mtangazaji wa simba 4
  • @
    @messivini74403 years ago Kila nikiangalia hii video uwanalia kwa furaha I love this team 5
  • @
    @GabrielyEmmanuelylast month daaaah hii simba sc sijui tutaitoa wapi tena 2024
  • @
    @ezekielraymond87493 years ago This is 🦁 braza waliambiwa kwa mkapa hajawahi toka mtu 2
  • @
    @jonamnyone80143 years ago Kumba Simba hawakufanya kosa kumsajili Onyango. Kwakweli nilipenda alivyojituma na uchezajiwake. Kapombe, Bwalya, Chama, Chinga boy, Erasto, Mo Hussein nk nk. Kwa ujumla kila mmoja anastahili pongezi. Salute to Manara 3
  • @
    @patrickkayanda79792 years ago Mnabiashara gan na like, wapuuz mda wote naomb like naomb like 2
  • @
    @user-kf1yr3kx2olast month Kamwe na mpenja wakitangaza hii mechi😅😅😅 2
  • @
    @hamidahamdun36463 years ago Kwa kweli azam mnachewesha sana highlight kuleta, nimeisubiri sana. 2
  • @
    @benmwasakujonga35753 years ago At least hii mechi inaweza compete na ya Nkana well done Lads 4
  • @
    @mwanahamisikijangwa34603 years ago Hee bwalya alivyoupitia mpira ndo kanikosha🔥🔥 7
  • @
    @ferouzmasoud47413 years ago Asantee sanaaa chama langu la SIMBA 🙏 kwetu soka kwao majungu 😂😂😂 5