Duration 4200

RAIS wa Zanzibar Dk. Hussein Mwinyi, akizungumza na watendaji wakati wa majumuisho ya ziara zake.

101 watched
0
0
Published 10 Jul 2021

RAIS wa Zanzibar na mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi, Dk. Hussein Ali Mwinyi, akizungumza kwa hisia namna anavyochukizwa na baadhi ya watendaji wa Serikali, wakati wa majumuisho ya ziara zake ndani ya Mkoa mitatu ya Unguja, hafla iliofanyika ukumbi wa Sheik Idrissa Abdulwakili Kikwajuni Jijini Zanzibar.

Category

Show more

Comments - 0