Duration 8:33

SIJAFA NIPO HAI SHEIKH NURDEEN KISHK. UJUMBE WAKE LEO TAREHE

23 761 watched
0
474
Published 6 May 2020

Leo Tarehe 6/5/2020 yamezushwa maneno kwenye mitandao ya kijamii kuwa Sheikh Nurdeen Kishk amekufa, na hii imetokea baada ya Sheikh Nurdeen Kishk kupost picha ya msiba wa sheikh Kilemile wakiwa pamoja katika picha iliyotumwa katika mitandao ya kijamii ya sheikh kishk. SHEIKH KISHK YUPO HAI MZIMA WA AFYA KABISA TUZIDISHE KUMUOMBEA DUA

Category

Show more

Comments - 173
  • @
    @saadiashariff9204 years ago Mola atulindie sheikh nuruudeen kishik. Ameen thumma Ameen. kifo ni haki lakini mwenye kumtakia muislam kufa ni hasidi, lakini hakuna atakaye amrisha kifo ni Allah wala sio matamanio yenu. kwa sheikh wetu kishik Allah akuhifadhi fii duniya wal akheera. huyu sheikh wetu aliyetutangulia Allah ampe janatul firdaus, Ameen thumma Ameen ... 2
  • @
    @zakiamselem16564 years ago Allah akupe afya sheikh wangu uzidi kutuongoza 2
  • @
    @raiyansuleiman94624 years ago Inalillah wainailaih raj'un
    Allah amjaalie nuru katka kaburi lake aipe faraja familia ake ndg jamaa na marafk piaaa ...Allah akupe umri mrefu wenye manufaa sheikh
    8
  • @
    @bidalamwachedi28854 years ago Allah akupe umri uweze kutuongezea elimu,na pia akuepushe na mahasidi na dhana,usife moyo kwa uzushi ameen🤲🤲
  • @
    @Shalwadesign4 years ago Amin... Mwenyezi Mungu atakujaali umri mlefu undelee kuitanga gurudumu la dini. Mwenyezi Mungu amlaze pema peponi marehemu Amin Thuma Amin.
  • @
    @hadijangina70254 years ago Allah hakupe amri murefi makah miya na miya nooradin kishki ni dakalul janatul fardos nakutakiya hiyo insha Allah ameen 1
  • @
    @bellbell92944 years ago Allah akujaalie umr mlefu na afya njema yenye kher na barka sheikh wetu uzidi kutuelimisha ss mahamma Aamiin
  • @
    @khadijamikdadi8614 years ago Allah akujalie maisha marefu lnshallah 🙏 13
  • @
    @islamismydeen84004 years ago Mash Allah.....Allah S.W.T akujàlie maisha marefu ili kuwaelimisha waislamu
  • @
    @ifkamedia83344 years ago Hiyo ni maisha marefu sheikh Allah akupe maisha marefu inshallah. Torch ya dini ya islam
  • @
    @husseinsharriff60414 years ago Allah a kupe umri mrefu sheikh wangu ,wamekuzulia mengi kwa vigezo eti wanakukosoa .Mimi ni mmoja wahao walio shtushwa na Jambo hilo Alhamdulillah ninafuraha Sana kukuskia tena wewe ukiongea hasa ! Allah akurehemu sheikh wangu ... 4
  • @
    @adibandagile25524 years ago Allah akujaalie umri mrefu na weny manufaa 1
  • @
    @faudhiaramadhani46754 years ago Allah akuhifadhi akupe umri mrefu sheikh nurdin 2
  • @
    @aishakinia49574 years ago Allah akupe umbri mrefu sheikh wetu uzidi kuelimisha umma
  • @
    @zahraahmes74194 years ago Allah akupe umri sheikh wetu tuzidi kufurahia darasa lako 3
  • @
    @sein.2084 years ago INNAH LILLAH WAINNAH ILEHY RAJIUN.
    ALLAH AMJAALIE MAKAAZI MEMA NA WOTE WALIOTUTANGULIA MBELE ZA HAKI.
    Nasi Tuzidi kumwomba Allah atujaalie mwisho mwema Umat Muhammad.
    10
  • @
    @ziadamaulid90894 years ago Allah akupe umri mrefu uziidi kutufundisha ila kilichowachanganya wengi kwenye ile picha ni kuweka picha zote pamoja yaani picha yako we na ya yule shehe aliyefariki .hivo ilimpasa msomaji kusoma kwa makini zaidi 1
  • @
    @maryammct39674 years ago Aaallah akupe umri mrefu nakuhifadhi amin yarab shekh nuru
  • @
    @salamazuberi77354 years ago Mwenyezimungu akujaalie umri mrefu inshaalah ili uzid kutuelimisha zaid inshaalah yarrab 2
  • @
    @shamimhayat76374 years ago Mwenyezi Mungu akulinde, na akupe umri mrefu wenye kheri na wewe. Waislam tunakupenda
  • @
    @mowanaalmowana61264 years ago Allah akujalie afya njema na Allah amruzuku pepo marehemu 1
  • @
    @sophiamyvideosngomahome4394 years ago Allah akujalie umri mrefu wa hapa duniani na kesho Akhra sheikh.
  • @
    @hajjmohd36024 years ago Nakuombea kwa Allah akupe umri mrefu uendelee kutuelimisha , wallah tunakupenda sana ingawa wengine wanakuchukia na kukuchafuwa , piga kazi huku ukitarajia malipo kutoka kwa Allah s.w.
  • @
    @saadakiyungi64374 years ago Allah akupe maisha marefu yenye kheri na barka ndani yake
  • @
    @rahimwilliam41964 years ago M/Mungu na aendelee kukuweka hapa duniani Sheikh, bado una jambo unatakiwa kuufanyia uislam. 2
  • @
    @irakozenurah89904 years ago Allah akupe umri mrefu wenye baraka tele sheikh wetu 2
  • @
    @faridaalwaily42604 years ago Allaah Akuhefadhi sheikh nurdin kishki.umriey mrefuu mwemaaa in sha Allaah
  • @
    @mbarakadadi52064 years ago Allah akupe umri mref sheikh wetu allahumma amein. 4
  • @
    @jamilatwaha72584 years ago Mungu akuhifadhi na akujalie umru mrefu wenye kheri na wewe na amrehemu sheikh kilemile 2
  • @
    @khalfansuleiman62064 years ago SHEIKH ALLAAH AKUPE UMRI MREFU WENYE KHERI HAPA DUNIANI NA KESHO AKHERA ALLAAH ATUJAALIE MWISHO MWEMA 1
  • @
    @hawamhanga29514 years ago Mm nakuombea kwamungu akupe umri mrefu wenye baraka uendelee kuutetea uislamu wetu mpaka utimize malengo ya uislam mm nakupenda kwaajili ya allah 1
  • @
    @asharichard54034 years ago Mwenyezi mungu akupe umri mrefu shekhe wenye kheri ndani yake na amrehemu kaiongozi wetu kilemile 🤲🤲🤲 2
  • @
    @zulfamohamed45494 years ago walaykum salamu walahmatullah wabalakatu naam watu siku izi wanapenda kuzushia watu kufu subuhanallah nimtihani mkubwa sana jaman binadamu Allah anawaona jaman ila Allah akupe umri mrefu piya alie tangulia Allah amraze mahara pema pepon ... 2
  • @
    @aminahassan40874 years ago Allah akupe umri mrefu wenye khery amiin
  • @
    @ashamasudi94414 years ago Allah akuzidishie umri zaid lnshaAllah
  • @
    @halimaalimwamajeni62914 years ago Allah akuzidishie kilala khery Naakuzidishie umri mrefu na aliye tutangulia Allah amulaze pema palipo nawema peponi Amina Nshaallah 4
  • @
    @alitesco49434 years ago Allah akupe umri mrefu wenye barka ishallh umri mrefu
  • @
    @fitondefu87724 years ago Allah akuzidishie maisha marefu inshallah 🙏
  • @
    @abdoumohamed70954 years ago Shukran ustadhi NOORDEEN MUNGU AKUPE UMURI MREFU ILI TUPATE KHUTUBA ZAKO NJEMA MIMI NI ISMAELA MOHAMED WA COMOROS
  • @
    @aminaabdallah77024 years ago Mungu ya kuweke hayi pamoja n'wa islamu yote duniani tu epukane navisa za wabeberu na covid 19 yitawapiga wegnewe icha allah 2
  • @
    @fatmadamasi68804 years ago Allah akupe umri mrefu na alotutangulia Allah ampe janatu nagheem🌹🥀🥀🌻🌻🍀🍀🍀🌿🌿 3
  • @
    @ashurakigoma26284 years ago Allah amuhifadh sh.wetu tunakupenda bado
  • @
    @fatmakassim20704 years ago ALLAH akupe umri mrefu wenye kheri na baraka na azidi kukuhifadhi zaidi sheikh wetu 3
  • @
    @sakinabakari98134 years ago N.a. hata mm pia nilishikwa na huzuni kweli kuhusu taarifa kuwa kishik amekufa kufa ni wajibu ila jua shehe kuwa ni namna gani tunakupenda sana Allah akupe umri mrefu 1
  • @
    @user-gy8lk8te8d4 years ago Allah atupe umri sote,kifo ni chetu sote Allah atujalie mwisho mwema
  • @
    @samsungjsevenprime57174 years ago Allah akuzidishie umri wenye afya njema uzidi kutuelimisha umma jamii waumini ulimwenguni 2
  • @
    @mifungaanyesi35474 years ago Sheikh Nurdin Mwenye Mungu akupe umri mref,na alie tutangulia Mungu amwekee nur ndan ya kabr 1
  • @
    @hamisihamisi50784 years ago Allah akuhifadhi Sheikh wetu Nurdeen Kishk.
  • @
    @sumaiahamimu67054 years ago YAARAB namuomba Allah akupe umri murefu tunakupenda saana SHEIKH. Piya na Allah nafahamu na in shaa Allah SHEIKH upo muda wako upo. Allahuma Aamin 2
  • @
    @fatmaaly30564 years ago Allah akupe amri mrefu mimi pia nishawahi kukadiriwa kifo na nilikua 2014 natoka madra nakuta watu nyumbani na wengine wanatoka sehem mbambali baba alikua ameinda kwenye mihandaiko yake watu walijaa na walipo niona walishaangaa sana allah anipe umri mrefu wenye khei na nipo hai nimeshaolewa nimeshazaa alhamdulilah yaraby wewe ni mkweli wa wakweli uongo haufai jamani ...
  • @
    @zaby-n-mamashasha66714 years ago MaashaAllah fatabaraka Allah ,Mungu akupe umri mrefu shekh wetu 2
  • @
    @mwaamwetahussain99474 years ago Alhamdulillah shekhe Kishiki nilimechanganikiwa sna maana natamani nikuone daima ktk maisha yangu Allah akupe umri mrefu Alla.azidi kukuafu jmn 2
  • @
    @al-hilalijuma87794 years ago Shekh kishik Allah Akujaaliye umri mrefu achana nao hao wanakuongezea umri TU 🙏🙏🙏 2
  • @
    @khadijaismael50324 years ago Subhanallah....ama kweli msema kweli kwa watu huchukiza.may you live long by the grace of Allah
  • @
    @khadijamikdadi8614 years ago Asallam allaykumu shehe nurdeen kishk samahani Sana nilikuwa naswali nauliza mm naweza kusoma lakini mpaka niandikiwe na mwalimu kwenye kitabu siwezi kila nikijitahidi nimeshidwa zikiandikwa naweza kabisa nifanyaje sheikh 2
  • @
    @sakinabakari98134 years ago Wasamehe bure shekh wangu hakika bado wengine tunakuhitaji 1
  • @
    @alvinsafi27334 years ago Maadui washindwe. .Wanaoku ombea mabaya. .Allah awaadhibu hao maadui
  • @
    @ramak.95874 years ago Hapakufi mtu hapa ila kwa amri yake Allah. Mtaua na kuzika upepo hadi kiama kismame.Allah akupe umri mrefu Insha Allah tuzidi kufaidi na kuelimika kupitia hutuba zako
  • @
    @ondegesauda70284 years ago Inna lillahi wainna ileihi rajiuun,Allah amlaze pema peponi.......Allah akuzidishie umri sheikh 2
  • @
    @bahatihadijabahati74564 years ago Pole sheikh wetu Allah akupe subra kwa kila jambo In shaa Allah 2
  • @
    @emanuelmmbaga58354 years ago Inalilah wa inalilah rajiun..allah amrehemu. Nawe Allah akupe umri mrefu 2
  • @
    @mohamedadan71604 years ago Mashaallah, ameen thuma ameen sheikh mungu amjalie janatul firdowsi
  • @
    @asdasdd82324 years ago Innalillah wainnailayh ranjiuun
    Allahu akupe umri mrefu
    1
  • @
    @ukhtyanasabintimalikimalik71884 years ago Katika maandishi walikosea kichwa Cha habari ndomana watu wakanukuu vibaya Ila tunaomba duwa aendelee kufikishia fatwa zake in sha Allah
  • @
    @wlkmwlkm84864 years ago Allah akupe umri mrefu wenye baraka.wa Tanzania hawaishi vituko wao ndio walio tangaza Sheikh Yusufu Abdi amefariki.leo kazua lngne wenye uzushi km huo muogopen Allah 2
  • @
    @bebisheni43804 years ago namuomba mwenyezi mungu akupe afya nurdin Shekhe wetu allah akupe uhai
  • @
    @rutahalima14004 years ago Inna lillahi wa inna ilayhi rajiun Allah amlaze mahala pema peponi 1
  • @
    @salmalyana52874 years ago Allah akujalie uhai mrefu na Afya njema shekh,,,waislam tusiharakie kupost bila ya jambo kulifanyia uchunguzi wa kina.
  • @
    @ajicksbintydeiyshbintydeiy83414 years ago Innalilahi wainnailehi rajiun Allahuma Amiin thuma Amiin 1
  • @
    @liezlalba17904 years ago Ameen ALLAHUMMA Ameen
    Allah akuhifadhi sheikh wetu kipenzi
  • @
    @marinamooh40554 years ago Inna lillahi wa inna ilayhi rajiun Allah ampe kauli thabit InshaAllah
    Ameen InshaAllah 🤲🏿
  • @
    @ummuzubeyda74024 years ago Ameen ya rabbal aalameen May Allah give you Jannatul firdows inshallah. Death and life is in allah’s hands. 3
  • @
    @shabanijuma20854 years ago Wa islamu Sasa tumebadilika Sana hatuna hofu tena na Allah uzushi Wakati tumefunga .Tumekuwa wajanja janja sana namna hii siju Kama tutapokelewa tubadilike .
  • @
    @mugilason27274 years ago Nakupenda kwa ajili ya ALLAH ndugu yangu, kila hatua dua. Mti wenye matunda ndiwo wenye kupigwa mawe.
  • @
    @halimaramadhan29754 years ago Inalilah wainailay rajiuun...Amiin Thumma amiin kwa dua 1
  • @
    @wesleyamzatijhon97674 years ago Sheikh wangu Mimi napatikana zambia ila nilipo sikiya abari kwenye mtandao mwili ulinisisi mka sana ila mungu akujalie kilalaheri 2