Duration 27:40

HISTORIA YA KANISA LA KATOLIKIHII NDIO SIRI WACHUNGAJI WANAZINI MASISTE

30 506 watched
0
345
Published 19 Jun 2020

Category

Show more

Comments - 174
  • @
    @omakywazamani66964 years ago Mashallah Mungu yawa zidishieni nguvu nasi pia tuwe watu kama nyie wa kulingania maneno ya Mungu na mungu atupe mwisho mzuri kama ilivyo tokea kwa amir said Omar ibn hatabu 6
  • @
    @bentybenty23434 years ago Masha Allah masheikh wetu,Allah awaepushe na hasad na awajaalie kila la kheir.Nawependa kwa ajili ya Allah.. 7
  • @
    @hashimmhashim26634 years ago Maashaallah mashekhe zetu mungu akuhifadhini 5
  • @
    @andrekandeke27744 years ago Allahu Akbar Mwenyezi Mungu awape moyo ya kulinda Uislam. 4
  • @
    @salimomarmkapa4 years ago Masha'Allah nakupenda bule mazinge wangu. Yani ukianza hii mada najua kwamba ni moto utawawashia. Ila ukweli usemwe kichungu kitemwe na kitamu kimezwe, wambie wakisikia sawa wakikaidi shauli yao lawama kwao si kwako ujumbe umesha warushia tayali. ... 9
  • @
    @sadanahimana71934 years ago Allah awalinde sana awape umri mrefu wenye kheir Nina furahishwa na Daawa yenu hua nawafwata kila siku Ma shaa Allah na wapenda kwa ajili ya Allah . 3
  • @
    @babuzemacan37134 years ago MashaAllah mashekhe wetu, sitashindwa kusikiliza 3
  • @
    @hassananwar73274 years ago Sheikh Yahya Issa Mupo wapi Masheikh wangu na mm ningependa kuhudhuria live kuwasalimia mashekhe wangu. 7
  • @
    @najmamohmad63484 years ago Ma shaa Allah Yani corona Allah aipeperushe daawa iendelee in shaa Allah. Ukweli Amna binaadam aweza ishi bila mwenza niukweli pastor wanakula watu wao 2
  • @
    @samanthaali8734 years ago Masha wallah Uislam raha Mazinge atia chumvi kweli😃 5
  • @
    @abdullahiaden63544 years ago MashaAllah. Ni furaha kubwa masheikhi wanafundisha mambo sahihi. Allah InshaAllah atawalipa 1
  • @
    @duniaabdallah28524 years ago Masha'llah masheikh Wangu Nawapenda. 1
  • @
    @razatrazat68333 years ago Mashaa ALLAH. ALLAH awahifadhi masheikh wetu ila tutaepuka aje hii Calender
  • @
    @ngokaomary51234 years ago Assalaam haleikum warahmatulilah wabarakath ..ma'sheikh wetu mnaongoza swalla zima la Imani 4
  • @
    @fauzialwi34884 years ago Asalam Aleykum please English subtitles next video please Kenya Daawah online tv In Sha Allah 4
  • @
    @ashirafathumani16664 years ago Masha Allah. Mambo mazuri ila location sio. Hatuwaiskii vizuri upepo mwingi San tunakosa uhondo. 2
  • @
    @mwanamwinyibmwakinalo40944 years ago Mashallah masheikh wetu nawapenda sanaaa, sheikh Mazinge hua wanipunga sana ukiwapasha pia kuna shamba la mananasi 1
  • @
    @mangeraalbert79824 years ago Mashallah alshabab, daawa kibao. A salaam aleikhum waramaturah wabarAkhat 2
  • @
    @busta_malik59714 years ago Nawapenda sana hawa waadhili endeleeni kutu elimisha 2
  • @
    @mrsliverpool42354 years ago Tushee hizi video kwa Wingi, lnshaAllah
    Sema mazinge Hua unanikoshaga Sana tu haswaa maswala hayo dah
    Alafu sijui Ismail nae ulimuacha wapi swaiba yako
    3
  • @
    @fadhilichai44149 months ago Aslm alaykum ya brothers, mm namuombea kwa Allah ampe na kumruzuku mwisho mwema kwa KAZI munayoifanya mmungu awahifadhi dhidi ya shari za shwaitan
  • @
    @supumoto68194 years ago ALLAHUMA swalli wasallim wabaarik aleihi 3
  • @
    @HassanAli-eq8ko3 years ago Mashaallaah yarab tuhifadh na utulinde pamoja na mashekh wetu wote amiin
  • @
    @jamilshisia59294 years ago MashaAllah nasikia raha mwenyezi Mungu aendelee kumuongoza na amjalie muda mrefu
  • @
    @mohammedmoshe66224 years ago MASHAALLAH!!!!!!! Umeongea Ukweli Kabisa 1
  • @
    @ummabdulrahman1704 years ago In shaa Allah mungu awafunguwe macho yao na masikio waelewe waambiwao maanake ukristo ni mtihani wa maisha ya duniani na kesho akhera ni adhabu Allah atuongoze sote njia iliyo nyoka
  • @
    @kingakomarey29214 years ago Mazinge wamkumbuka sio huyo waziiri 2011 makadara ground mombasa Akibishana na ww na ww ukamwambia utakuja tu kusilimu ndo huyo hapo Ashasilimu Ahamdulilah 2
  • @
    @ibrahimkhamis86484 years ago Maa shaa Allaah shukran Jazeelan wa JazaakumuLlaahu khayr
  • @
    @abdullahiisaackkiriama25054 years ago Masha Allah mashekhe wetu tunawapenda Allah awabariki sana apo dunia na aheera
  • @
    @zainabumwagiroabdallamwagi974 years ago Shukrani mashekhe mungu awajaze ilmu mungu awape malipo mema
  • @
    @sabraabdilnasir88264 years ago mashaallah nawapenda kwa ajili ya Allah
  • @
    @KabatoniBoraa3 months ago Allah awastiri na awaongoze masheh zangu msiogope mtu ogopeni mungu tu ukweli uonyeshwe.nauongo ufutwe
  • @
    @omaribrahim92684 years ago Asalaam aleikum warhamatullah wabarakatuh masheikh namuomba tafadhali mufike meru in sha Allah
  • @
    @aaibrahim44874 years ago MashaAllah show iko mzuri sana na inaelimisha sana.....Maalim nakuuliza mbona hizi nchi zakiislamu kama Saudi,Dubai na zingine huwa Zina mkaribisha sana huyu pope nakumpa heshima...Haya Mambo yanaudhi sana.. Assalamualaikum
  • @
    @salehesengiyanka53974 years ago Asalaam aleykum, MASHEKH KUNA MAZINGE WA TZ NAOMBENI MUUNGANE NAYE ILI DAAWA IWEZE KUFANYIKA TANZANIA HASA MKOA WA KIGOMA, nitafurah sana 3
  • @
    @asiriyaaljabriy4344 years ago Msipendelee kuongolea nje upepo unasababisha sauti haitoki vizuri 1
  • @
    @hamishemed93964 years ago Wagalatia hawaelewi kwakweli inasikitisha ila Alihamdulillah unajitahidi kuwaelimisha baadhi yao wanaongoka 2
  • @
    @fahadkhalfan20794 years ago Kwa style hizi na jitihada hizi inshallah baada miaka 10 ukristo kenya utakuwa umeisha na kenya itakuwa madina ya Africa inshallah.. mkitoka hapo mje Tanzania masheikh wetu manake wahadhiri wa tanzania daawa mitaani hawafanyi sijui tatizo nn 😢😩 ... 4
  • @
    @erickkamande9844 years ago Huyo sheikh mazinge namkubali sana ni mkali wa intelligence wa pungufu wa akili
  • @
    @najmamakame98814 years ago Sheikh yahya naipataje hii nasheed jaman naipenda sana
  • @
    @duniaabdallah28524 years ago Nilikua napenda muongeze dakika yani ifike 45 basi masheikh Wangu 1
  • @
    @godisgreat18454 years ago Makafiri ingieni hapa mpate sindano kwa walimu wa Kiislamu hawataki kulipwa na mtu Hao katika haya wanasubiri malipo kwa Allah ya kunusuriwa na adhabu siku ya kiama 2
  • @
    @abdulmalikngola92444 years ago Assalaam alaykum w.w great work brothers sauti kidogo balaa
  • @
    @KabatoniBoraa3 months ago Kwakweli masheh zetu nawapendeni kama roho yangu mzidi kuipiganiya dini ya allah.malipo yenu yapo.
  • @
    @aliomoke62894 years ago I really agree with you but shida juu ya ndugu zetu wakristo ni kupuuza maneno yaliyo yakweli yaliyo fundiswa na Manabii wa ALLAH na kuyafuata maneno ya ukora na wauni wakuu Wa makanisa.Kwanza Mimi mwenyewe nilikua naenda katika kanisa la SDA nilipokuja Nairobi kikazi Kwa bahati nzuri nikatumwa Eastleigh ndio nikawapata warimu Wa kiislam wakifundiza nikaanza kufuatilia hadi nikajua ukweli na kuufuata but ninao challenges mbaya sana Kwa familia lakina nwomba muniombee Dua ...
  • @
    @mathildemwangaza1093 years ago Hapo ndipo nachukia waesilamu sababu hawatambui Yesu kristu kuwa bwana na mokozi wa maisha ya wanadamu
  • @
    @KabatoniBoraa3 months ago Kama namuona mazingee,mwaipopo,dr sule nawengine masheh wakenya na tanzaniya.wote endelezeni kazi hiyo Allah atawalipa.muwabane mbavu mpaka wanyooke waache upumbavu wao
  • @
    @mathildemwangaza1093 years ago I wish mugemutambua Yesu kristu ndio mungeelewa. Na yesu ndie njia ya ukweli ya kwenda mbinguni
  • @
    @hanifaali95264 years ago Hapo kwa catholic sisters ni ukweli ukiwaona vifua vyao vimeanguka, zimeangushwa na nini na hawajazaa?? Pia kuna wakati nilikua nafanya kibarua loreto convent nilishangaa kuona kuna sister alikua ikifika jioni anavaa mini skirt na kutoka kulikua na gari nyeusi BMW inakuja kumshukua jioni anarudi asubuhi, kwani alikua anaenda misa ya usiku peke yake? ... 2
  • @
    @guwileguwileyasini7584 years ago Kk yahya abili mm ninashida ya namba zako nataka nikutumie pesa kwaujezi wa msikiti naomba nambo mi naitwa ziada yasin mi ni mtanzania lla nipo oman nakuomba namba
  • @
    @sospetermwita5433last month Siku hizi watu wanafanya comedy,wake mchezo na mwenyezi mungu
  • @
    @mathildemwangaza1093 years ago St Paul katika kitabu cha 1st cor 7 utaona hawalazimishi mtu kuowa wala kuolewa. Ni maamuzi ya mtu binafsi. Ukiweza baki single husipoweza owa. Free choice
  • @
    @nicolaussengenge64653 years ago Ndugu hii ni hatari kubwa tuache kujiingiza kwenye imani za watu wengine.
  • @
    @johnsombi5454 years ago 18 Nami nakuambia, Wewe ndiwe Petro, na juu ya mwamba huu NITALIJENGA KANISA LANGU; wala milango ya kuzimu haitalishinda.
    Mathayo
    2
  • @
    @raphaeldinyu42710 months ago Biblia takatifu na Quruani ni vitabu viwili vya Imani tofauti hivyo Imani unaamini wewe sio lazima mtu mwingine aiamini
  • @
    @ramxoketti75213 years ago Saf ila jitahidini kukuaa sehem zisizo na upepo inaboa sana
  • @
    @lacroquetalacroqueta68134 years ago Ustadh Waziri mulizungumzia kuhusu kile kiraka cha yesu kwenda kusulubiwa hususwan ulisema mulikuwa mukijitetea ile Cloak wakati ule ilikuwa mukijitetea mukisema saa iliotumika kwa kigiriki na kiroma zimetafautuana sasa inamaana sisi watu wa wakusema cloak kwa kiswahili tunatumia cloak ya kigiriki kwa mfano 12 tunasema saa 6 yaani cloak zetu ile namba tunasema tafauti ilivyo. ...
  • @
    @sir-ddamsir_di_key52244 years ago Wapi nduthi yeye pia next episod akuwe bana
  • @
    @dennismwenje70414 years ago Mazinge alf zile movie za freemason siku hizi utangezi 1
  • @
    @mathildemwangaza1093 years ago Shida waya esilamu ni hawafuati agano jipya ndio maana hawatambui Yesu kristu
  • @
    @salimomarmkapa4 years ago Kwanza catholic sio serikali sema ni chama cha siasa ulimwenguni period 2
  • @
    @KabatoniBoraa3 months ago Iyo biashara ambayo mko nayo kanisani ipo siku itahomba.mnamchuwa yesu mnamuweka kwenye ibada yabiashara.ndovile aliacha anawausiya?atawakanauyo hilo jina mmejipangiya litawabakieni nyinyi wenyewe atajikunguta atawambieni yeye sio yesu.yeye ni issa bin mariam. ...
  • @
    @swahibusadick44194 years ago Allah awaongoze endeleen na dawa Wala msichoki.
  • @
    @nalingarowl70482 years ago Dhambi sio kuzini tu,Kila binadamu ni mtenda dhambi.dhambi ni dhambi tu.
  • @
    @augustineraphael32173 years ago Mbona tukizungumza ya mtume wenu hapa tutakesha hapa ya latifah ndio kabisa tukianza ya macca je
  • @
    @isayajeradlast year waisiram wamesabisha ushoga maana majini ya ukahaba ya mejaa
  • @
    @gaspermlelwa4323 years ago Hamna kitu mnachokijua!! Ninyi ni wachekeshaji tu!!
  • @
    @KabatoniBoraa3 months ago Waislam tunatisha!!!kwakweli mjiamini,ndio mana tunaogopwa tunaitwa ni wachawi.sababu ya Nini? Elim nyingi kubwa.
  • @
    @hamishemed93964 years ago Kingine masheikhe zangu kwanini wakiristo wanaaminishwa picha ya msanii wa filam kuwa ndio yesu hadi wameiweka kwenye makanisa wakati sio yesu hilo nalo wanalichukuliaje 1
  • @
    @raphaeldinyu42710 months ago Kama Quruan yenyewe haifundishi mambo mazuri ya Imani Shekhe ataweza kufundisha mambo mazuri ?
  • @
    @anoldsimbeye26763 years ago Mukobize munachambuwa msichokijua nikweli akilizenuzimeishiahapo zaubinadamu.
  • @
    @geminassenga53033 years ago Nawachekaga Sana😂😂😂 Ila bas tyu endeleen kumhubir huyo Mungu wen wachuki
  • @
    @zaburionlinetv62454 years ago Kinshansa Ni Congo bhana hahahaha wazee washakarabara bakosa okamata Ni usanii mtupu
  • @
    @mikaelilivigha6972last month Hakuna kitu hapo nyie Kama amuamini mbaki hivyo sawa
  • @
    @hamadinyawe18164 years ago Tunaomba sauti kipindi kizuri mashee wetu
  • @
    @liberatusmboje83327 months ago Mmejaa fitina, mbona nyie wenye vikofia wanalawiti hamsemi?
  • @
    @fatumamroki27164 years ago Wallah unajua kuwa coppy sheikh mazinge and sheikh Yahya Allah awahifadhi inshaAllah
  • @
    @raymondngajagu664 years ago Umechapia hamuna kitu hapo umejaribu kuelezea ila bado jaribu usome tena