Duration 4:32

MUNGU MKUBWA ANGALIA NEEMA ILYOFIKA PEMBA RAHA TUPU SASA

9 006 watched
0
86
Published 28 Jul 2020

Angalia Video Hii Mwanzo mwisho , Kisha Subscribe ili uendelee Kupata Habari Zote. Follow Ktv Tz Online Facebook | KTV TZ ONLINE INSTAGRAM |@ktv_tz_online Wasiliana nasi kupitia number +255 625 323 932 Ktv Tz Online Journalists cc: Sadia Rashid cc: Masoud Maganga cc: Sauti Byego cc: Maryam Busara Camera Department" Dadi Ali Mwarabu Mmadi Nassor Shaibu Abdallah Dula Editors: Juma Maulid Video Zingine: Angalia hapa - Diamond Platnumz Alivyolisha watoto yatima - Ali Kiba akiwa Oman /watch/gP9ye7QajQQay /watch/Y9mrg7gbcsMbr

Category

Show more

Comments - 79
  • @
    @h.alshidhani89714 years ago MashaAllah . Barakatu ALLAH fiikum. Huu ndio UISLAMU 1
  • @
    @ibrahimadam42724 years ago All the way from 001 mambasani.mngu atakutatuliya shida zako zote.bopar usiwasahau jamaa zangu Wa mtambw e kwa msaada wako👍👍 3
  • @
    @nailaomar48104 years ago Mashaallah Allah akuzidishie kheri na barka akupe na afya inshaallah
  • @
    @abuubakarkichimbo99574 years ago Mashaallah Allah akujalie kher katika mambo yako, jua hupotezi unaweka kher na swaadaka ujuwe ni kinga ya mabalaa katika maisha yako.
  • @
    @suleimanpandu89554 years ago Maa Shaa Allah, Yarabi tunakuomba umzidishie kheri na bakra ndugu yetu Bopar pia umpe maisha mema na marefu hapa duniani na huko akhera tuendako mpe pepo ya daraja la juu kwa rehma zako ya Rabbi pia tunakuomba na sisi watu chini tuinue tuwe mfano wa Bopar kwa watu wetu na jamii nyengine za watu mbali Ameeen ...
  • @
    @samsungjsevenprime57174 years ago Mashaallah sadia Rashid nakupenda sana ukhty wangu nakupenda kwa ajili ya Allah
  • @
    @kichakanyuki64634 years ago Huo ndio ubinaadamu Allah akujalie mwisho mwema
  • @
    @katibatanzania30894 years ago maashaallwaa bwana sayidi mungu yupo pamoja na ww kwa moyo uliyo nao utazidi kuneemeka na malizako apa duniyani na kesho ahera inshaallwaa
  • @
    @aishanassor80574 years ago Maashallah Allah ajaalie malipo bora ya dunia na akhera ya Rabb
    Na akuzidishie kipato chako na moyo zaid wa kutoa kwaajili ya Allah S. W
    Amin
  • @
    @aishafarah24564 years ago Mashallah Allah akuzishie pale ulipotoa 1
  • @
    @fatmasaid58644 years ago ما شاء الله تبارك الرحمن الله يزيدك نعمة ويبارك فيك 1
  • @
    @maqboulal-barwani25064 years ago Maa shaa Allah baraka llahu fiykum akhuwiy
  • @
    @abuysalim71634 years ago Mashallah ,. Allah akujalie hatima njema dunia na akhera 1
  • @
    @fdhjffdhjfsjdjfjfi94774 years ago Mashaallah yaraby mkunjulie barka zaidi na afya njema ili aweze kusaidia maradufu kwakila anachokitoa kwa moyo wake wafurah na upendo mkubwa kwa waislam nawengineoyaraby ummpe makazi ya juu atakayo kaa kipezi chetu rasulallah ... 1
  • @
    @alawiali34754 years ago Hongera sana bopar ALLAH akuzidishie kipato chako
  • @
    @rumesibarka53124 years ago Haya ndio yatayomfaa mwanadamu baada ya kufunikwa shuka... Mola akuzidishie imani
  • @
    @leilanath48074 years ago Masha'Allah! May Allah SWT forgive n bless you abundantly. I wish more rich people n governments of ur country wud do likewise. Allah barik
  • @
    @Da-cr6ow4 years ago Masha Allah akulipe kheri insha Allah kwa kila jema unalofanya na Allah akuzidishie rizki na akulipe jannah kwa rehma nahuruma zake Ammin
  • @
    @ZainabZainab-tv9ir4 years ago Mashaallah allaah awazidishiy nafsi zakutowa🇧🇮 1
  • @
    @fatmaabdulla95184 years ago Jenga Akhera yako kabla hujafa Allah akuzidishie ishaallah
  • @
    @aishasaid57024 years ago Allah akuzidishie mara mia katik rizki yako asante kwa kusaidia ndugu zetu
  • @
    @samiramahmud4064 years ago MashaAllah
    Allah Awazidishie zaidi ya ulichokitowa Wewe na
    Wasaidizi wako Pia
    Allah Awajaze kila la kheri
    Yaarabi 🤲❤
  • @
    @ahmadoomahmoud6024 years ago Allah akulipe kwa kheri hii na nyengine inshaa Allah
  • @
    @chamajunior85014 years ago VIZURI UNAVOFANYA MWESHMIWA BOPAR ,ALLAH AKULIPE NA AKIPE UMRIMREFU WENYE KHERI NA WEWE .AMIN 🤲 2
  • @
    @luqmanmwinyi79534 years ago Ma shaa allah Ma shaa allah Bopar hee allah amjalie kwa kweli na amjaze Iman na nguvu na Uzima.. Hii hali si ndogo kwa mtu km huyu kujitwika mzigo monyewe mgongoni Ma shaa allah allahmduliah
  • @
    @tatuali14644 years ago Mungu akupe kila la herri hapa duniani n.a. ahera
  • @
    @sniperboy70984 years ago Allah akupe kila LA kheri bopar na wengine wamuige kwan ukitowa dunian kwa ajili ya Allah hapa dunian kuwasaidia wasojiweza Allah atakupa pepo Ilo njema siku ya kiama
  • @
    @eddimalon60514 years ago Anajua kama hapa duniani tunapita, ni kama kuingia mlango wa mbele ukatokea mlango wa chuma.
    Maisha ni mafupi sana. Mungu akubarik. Amiin.
  • @
    @jumashaha34674 years ago Mmungu akuzidishie imani na iwezo zaidi akupe mwisho mwema
  • @
    @ismailjuma36924 years ago Kama matajiri wate wa kizanziber ingekua wanafanya kama wewe basi kwa pemba hio kusingekua na mtu anaelalamika njaa tena sio tu kwa siku za sikukuu bali siku zote uwezo huo wanao ila hawatoi. 2
  • @
    @ussisuleiman51094 years ago Hongera Mheshimiwa Bopar, Ussi Said Suleiman, Mkurugenzi wa Online Small Capital Mobile Osc 0776423639 au 0718125577 Karibuni kujiunga na Kampuni ya Uwekezaji Osc
  • @
    @bintichee59294 years ago Mmungu akulipe maradufu natamani serikali ya znz ingefanya hivyo pia wananchi hali zao duni sana 2
  • @
    @ismailjuma36924 years ago Jamani Mtangani mbona hua munakusahau au mnatumia vigenzo gani. 1
  • @
    @aybkham57954 years ago Allah amped Zaid Ndugu Bopar kwani anafikisha
  • @
    @TheTruth100714 years ago serikali na viongoz msijenge mijumba tu,tunatak km hvo,watu ni maskini sana ,hem tembeeni muone unawez kulia
  • @
    @khmkuu4 years ago Ni maamuzi ya kijasiri yenye tija kabisa. Allah akulipeni kheri. Suali ji jee Mheshimiwa unakumbuka kulipa zaka yako inavyotakiwa ukijua kua sadaqah ni IHSAN kwa apewae lakini zakat HAKI yao na WAJIB kwako? 1
  • @
    @hamidjuma61094 years ago Hakika we nimfano wakuigwa kabisa bopar unaijua thamani ya wapemba wenzako sio wanaojidai kugombania usiasa wala hawana lolote shenzi wakubwa hao
  • @
    @abdhihariabdhallah7604 years ago Hiyo ni sadaka ama ni Riya mtume alitwambia ukitoa mkono wa kulia wakushoto usijue je mpaka kwenye vyombo va habari jamani dini iwapi 1