Duration 16:20

Hawamheshimu Mama Samia na Hata Manajeshi Wetu

5 558 watched
0
30
Published 5 Oct 2021

Ni Ajabu Tulipigana Na Wakoloni Kwa sababu Walitunyima Uhuru na Kutudhalilisha, Kutunyima Heshima, Uhuru na Utu wetu, Tunakubalije Kuruhusu Wenzetu wa Mbari Yetu watufanyie Ukoloni Unaozidi waliotufanyia Wageni? JE TULITAKA UHURU WA NINI? Kwanini Tulisaidia Tulitumia Vifaru, Bunduki na Mizinga, Uganda Kumwondoa Nduli Amini, Tukasaidia Kabila Kupigana na Mobutu, Tukasaidia Frelimo, ya Mondlane Na Samora, Swapo Ya Nujoma, Zanu ya Mugabe PF ya Joshua Nkomo na ANC ya Mandela na akina Sisulu na Joe Slovo. Kwa Nini Leo Tunashindwa hata Kusema Neno tu Kusimama na Ambao wanasema, 1)Tanzania Chaguzi Ziheshimiwe, 2) Utawala wa Sheria Uwepo 3) Watu wasifungwe Kwa Kuonewa 4) Na Jasho la Mtu Lisiporwe? 5) Kuwepo Na Ktiba Mpya? Maana Kama Ilivyokuwa Kwa Mandela Mugabe, Slovo na Samora, Watu hawa Nao Wameitwa Ati Ni Magaidi.

Category

Show more

Comments - 12