Duration 6:37

HATUKO TAYARI KUONA BARABARA INAJENGWA CHINI YA KIWANGO.

266 watched
0
2
Published 12 Dec 2021

Naibu Waziri wa Ujenzi na Uchukuzi Mhandisi Godfrey Kasekemya amesema wizara haitakuwa tayari kuona barabara zilizojengwa kwa fedha za watanzania zinajengwa chini ya kiwango. Kasekemya ameyasema hayo wakati alipotembelea kukagua maendeleo ya ujenzi wa barabara ya Tanga Pangani yenye urefu wa kilometa 50 Akitoa taarifa ya Ujenzi wa Barabara hiyo Meneja wa Tanroad Mkoa wa Tanga Mhandisi Alfred Ndumbaro amesema mpaka Sasa Ujenzi wa Barabara hiyo umechelewa kukabidhiwa. Akipokea maelekezo ya Naibu Waziri Mhandisi mshauri wa mradi huo kampuni ya CHICO amekiri kuchelewa na kuomba waongezewe muda ili waweze kufanya kazi kwa ubora zaidi.

Category

Show more

Comments - 1