Duration 20:5

JINSI YA KUPATA CHOCHOTE UTAKACHO MAISHANI

65 835 watched
0
1.8 K
Published 22 Nov 2019

JINSI YA KUPATA CHOCHOTE UTAKACHO MAISHANI Kuna mengi sana kama wanadamu tunakuwa tunayatamani katika maisha yetu, lakini kutokana na aina ya malezi maisha tuliyopitia kuna baadhi ya tabia tuko nazo zinaweza kuwa zinatuzuia sisi wenyewe kufkia malengo hayo au kupata yale tunayoyatamani maishani. Katika somo hili tutaweza kujifunza njia kadhaa za namna gani unaweza kupata chohote maishani. Fuatiia kwa makini na uniachie mawazo yako kwenye comments. Usiache ku SUBSCRIBE na kuniachia mawazo yako kwenye COMMENTS, LIKE na SHARE PIA kwa wengine. . NIFUATE MITANDAONI INSTAGRAM: https://www.instagram.com/ezdenjumanne/ TWITTER: https://www.twitter.com/ezdenjumanne FACEBOOK: https://www.facebook.com/ezdenjumanne LINKEDIN: https://www.linkedin.com/in/ezdenjumanne . For Business please send me an email ezdenjumanne@gmail.com #Patachochoteutakacho #SuccessPath #EzdenJumanne

Category

Show more

Comments - 188