Duration 10:19

Lissu avunja rekod tena,Maelfu ya watu wampokea leo kwa staili ya ajabu,Anena Mazito

102 627 watched
0
435
Published 17 Oct 2020

Lissu avunja rekod tena,Maelfu ya watu wampokea leo kwa staili ya ajabu,Anena Mazito!

Category

Show more

Comments - 219
  • @
    @norbertmbumi65104 years ago Hukisema katiba mpya najuwa mzee warioba hanafulai sana. 6
  • @
    @chrismwanakwetu52504 years ago Upo vzur kwa hoja nakuelewa kumbuka kusali n kumuomba mungu kwa yote unayodhamilia.
  • @
    @withmanelick8694 years ago Uchaguzi huu utkuwa mzuri tunaomba aman kwa jeshii letu. 1
  • @
    @amedeusnikolaus16814 years ago Sera nzuri ninidira sahihi ya mwelekeo halisi wa nchi.
  • @
    @gracegrace35304 years ago Maguful kwanza, labda kwa wabunge na madiwani. 2
  • @
    @stephanokigosi6564 years ago Muhuni kajibu issue ya maji kisiasa sana. Aseme atatumia njia ipi kuleta maji hapo sio kumuattack dr jpm. 4
  • @
    @salumjonas76364 years ago Binafsi ninaamini katika haki kila mtu anaweza kuwa kiongozi wa nchi hii pasi kuzuiwa na kelele za mtu yeyote awaye isipokuwa bwana wa yote, sembuse tundu . ...Expand 6
  • @
    @yusuphjonathan85924 years ago Wakwanza ninyie ndo munaomba kwan kila mnapo pita munaomba muchangie ela yan munasema et raisi wawanyonge mbona unawaomba ela wanyonge bada ww ndo uchangie uwasaidie wanyonge. 1
  • @
    @zainabuhussein40554 years ago Kwan chadema ni chama gani mbona sijawahijibu jamani.
  • @
    @mainguburemo61864 years ago Mnaunganisha picha mafuriko gani subiri 28 october.
  • @
    @estarjuma79834 years ago Mbona wapo tofauti na nilivyo ona pictures ajaze lkn 28 itawanyoosha. 1
  • @
    @lussevv17164 years ago Kisauti kinachoanza cha mtangazaji huyuvisaut vyakuigiza mpk nikikisikia tu nakirusha. 1
  • @
    @petromwakyalabag94844 years ago Hata kwenye jimbo lako hukutatua tena miaka yote ya ubunge wako. 1
  • @
    @diamondgeyser79874 years ago Limo media/chagaterehe 28 ngebe zenu zitaisha. 1
  • @
    @amanihamidu92134 years ago My beautiful president tundu lisu iweke tena tanzania kwenye map. 3
  • @
    @onesmokigomba81824 years ago Lisu fanya mabadiliko ya kweri ccm tumechoka ni miaka zaidi ya 60 upnzni komaeni.
  • @
    @a2gmgimwa34 years ago Sasa kuvaa barakoa hivyo ndo watu wasio julikana hawa.
  • @
    @habibrwegoshora66244 years ago Lissu kama mgeni tz. Ndio maana hana sera zaidi ya kumzungumzianzima shida zipo tu kudanganya watu. 6
  • @
    @vicentdeogratias46254 years ago Kalime alizet wew unaongea pumba gan wew.
  • @
    @mariatuku3594 years ago Mungu ashachagua raisi tayari yy ndio anajua muongozi wa nchi hapo tarehe 28th ndio tutajua mbivu na mbichi 11 days more god bless tz. 5
  • @
    @mainguburemo61864 years ago Mmetengeneza bango wenyewe. Hamna mafuriko hapo. 1
  • @
    @jayfatmitas53034 years ago Hatujahi kwenda kuombaomba labda wewe ndio unaombaomba urais.
  • @
    @francisosward69304 years ago Hupati uraisi wewe mbio za sakafuni mwisho wake ukingoni umetuweka sisi ni mapoyoyo ongea utatufanyia nini wewe huna jipya. 1
  • @
    @a.katunzi58154 years ago Nasema tena; hizo siyo kura za ndiyo. Hao ni wasikilizaji na wachambuzi.
    na, picha hiyo imetengenezwa tena kizembe. Angalia msitari wa kuunga hapo katikati!
    28 ije.
    1
  • @
    @jamessichimata31004 years ago Jiandae 28 october kurudi uberigiji utakuta geto lako limeliwa na panya. 5
  • @
    @ayshakayeko20434 years ago Matokeo ya mafuliko ni 28trh wakwanza leo like zenu. 4
  • @
    @saidikhalidi81494 years ago Inamaanisha hata wewe hauwezi ndio unamaanisha ivyo.
  • @
    @linuspapiasmanywele34144 years ago Tarehe 29 mwisho wa chadema kufa kabisa. Nahaho wote wanao kusikiliza wata kigeuka na utabaki macho kodooo. 1
  • @
    @nishasalim28804 years ago Mafuriko ya ccm wameweka kwenye headline ya lissu.
    hata aibu hauna wewe thobias marandu.
    umegundulika.
  • @
    @christiankiponda46394 years ago Walijiandikisha, ndio watakaopiga kura, hiyo nyomi ni mashabiki wa mikutano, tu, wapiga kura hawana vurugu. Wao wanangojea siku ya tarehe 28/10/2020. 1
  • @
    @saadatabdallah32754 years ago Mnaanza hira za kusema uvamizi umeanza nchi ili mufute uchaguzi mbona mnatapatapa sana mmeshakuwa wafa maji. 3
  • @
    @frankjohn85704 years ago Heri kuhutubia kundi la watu elfukumi kuliko milioni waliokusanyika kucheza singeli maana huna uhakika nao kama nikukusikiliza au kucheza mziki nakukumbuka mziki wasikumbuke kusudi la kusanyiko.
  • @
    @samwelhiinyamhangahiileosi10604 years ago Miezi yote iyo unalalamika2 haina chakuongea tofauti na kuhibili habari ya magu, au haukuona kilichotokea siku magu anaenda dar icho ni kipimo tosha mwenye . ...Expand 7
  • @
    @saidimasudi64504 years ago Hizo picha za kupest ngojeni tarahe 28. 6
  • @
    @teddyoscar68764 years ago Sasa unataka wakaombe bank? Magufuli ndie anaezisimamia kodi na pesa zote sasa wewe unata wakaombe wapi kwani hao wanajua hizo pesana kutunzwa kwake? Kwenda kule shenzi mkubwa. Hao unaowaambia ni washamba hawajielewi kabisa. ...Expand
  • @
    @joshuambwilo59284 years ago Tena wewe ndiyo fisadi lenyewe sasa sela zako hazina kichwa wala miguu sela za mfa maji hizo magu mwaka huu tena atashinda mara 3 kuliko mwaka 2015. 1
  • @
    @stevenmasato57874 years ago Nyie lyimo media mbazingua. Hayo mafuriko yako wapi sasa. Mnazingua sana.
  • @
    @eddahmwasiposya11464 years ago Ila kiukweli kila kitu kiko wazi labda kama nimaandalizi ya baada ya 5 sawa vinginevyo kuna ugum mkubwa sana.
  • @
    @martinemaganga25464 years ago Kwani tatizo la maji limetokea wakati wa magufuli? Huwezi kuijenga inchi kwa siku moja. Acha kutudanganya.
  • @
    @lucymangwela52754 years ago Sio wote watakao mpigia kura, wengine ni wasindikizaji tu msidanganyike na umati wa watu. Ccm tena 5. 6
  • @
    @asteriakimbi71834 years ago Wewe nichiz kweli ulitaka wateuliwe na nani. 3
  • @
    @allysalim24974 years ago Haya oneni vijana wa ccm na nijuwe wote munaemkadhifu na kumtukana ndie huyo je huyu ndie chizi au nyie ndio machizi. 1
  • @
    @elminakalunga40304 years ago Hivi mungu asingesimama nasi kuifukuzaia mbali corona, lisu angekuja tz kweli? Hakika jpm ni jembe! 5 tena, huyu lisu hawezi! 1
  • @
    @ayubumohamed35154 years ago We fara acha kumtaja magufuli ongea sera utafanyia nini wtz.
  • @
    @grace-zj6sq4 years ago Jpm nakupenda bure baba magufuli kura yangu kwa jpm. 2
  • @
    @stephanokigosi6564 years ago Issue ya majimbo unakunya kaka lissu. Acha ukibaraka huo, mwenye akili hawezi kumsikiliza muhuni. 7
  • @
    @khamishemedsaid21344 years ago Lakini na wewe ikiwa rais pia utaobwa pia kila kitu hujapata tu. 1
  • @
    @zubeirsalum1284 years ago Hata wakitukana kwenye koment haki ikitendeka lisu ndio raisi. 3
  • @
    @yasinsalum29134 years ago Cc waslamu tunakuunga mkono lisu kw sababu tunazo nia tunazo na uwezo upo lisi tamba tu wajinga wamoja wana pewa sumu cc tunajua kbsa.
  • @
    @tizzomushi40724 years ago Dah! Lissu umeongea point kubwa sana sasahivi hata mwenyekiti wa mtaa anatunyanyasa hakuna sehem ya kwenda kujitetea ukitaka ukaeleze police haki yako ipatikane wanakuweka ndani tutateseka mpaka lini. 7
  • @
    @francisosward69304 years ago Wewe tundulisi sikuelewi kila siku magufuli, magufuri huongei utatufanyia nini mpaka nina kuchukia sasa. 2
  • @
    @nassirmasoud25454 years ago Sasa wewe pia unataka huo unusu mungu? 1
  • @
    @mduduemmanuel45854 years ago Nahisi hata ccm hapa watakuwa wameelewa. 1
  • @
    @marcobulili43414 years ago Hapo nmekupongeza kwan umeeleza sera ambavyo ulitakiwa ufanye hivyo wakati wote. 2
  • @
    @geraldmwandolela85354 years ago Hakika taifa linaitaji mabadiriko huyu mtu ana matangazo ata hivyo vya habari hapati saport ya kutosha ni mda mwafaka kwa watanzania kukubali mabadiliko. 4
  • @
    @selinamilanzi44514 years ago Acha kumtaja magu wetu we ongea sera kama nina sera ziba domo lako plactar. 2
  • @
    @mrdeniskomba25964 years ago Tanzania raisi yupo tayari tangu miaka mitano iliyo pita, haya mengine ni kutimiza katiba tu. 6
  • @
    @saidhg4834 years ago Sisi hatutaki ushoga ktk nchi yetu nenda hukohuko ulaya.
  • @
    @mainguburemo61864 years ago Utaolewa tu wewe. Usipomtaja jpm utaolewa na wazungu. Usipoolewa mwaka huu! Hizo sera ni tofauti na huko ulikokuwa. Kwa hiyo kwa hiyo hupati. Leo huna . ...Expand
  • @
    @mozakhamis72534 years ago Huyu ni raisi wakweli mungu amemkubali. 1
  • @
    @martinemaganga25464 years ago Hata wewe ukipewa inchi hii huwezi kuijenga kwa miaka mitano labda sema jingine kama singida tu haujafanya lolote wakati wa ubunge wako, je ukiwa raisi?
  • @
    @mozakhamis72534 years ago Tanzania imekuwa ni nji isiyo na shariya inaendeshwa na mjinga hahe hohe. Hajuwi nini maana ya cheo chake anabanguwa mpaka wananchi anawafukuza ovo m id="hidden11"akazini mtu anaofosi yake hamuiti anamtukana hadharsni aibutu tanzania kuna kinyango na vituko vitu. Akuschiwa mwadazimu rungu mitano trna mutatafutana. Nadhani jela ndio itakuwa makazi makubwa kuliko nje poleni sana watanzania. ...Expand 1
  • @
    @justinnyariiloveyu76274 years ago Ivi mbona kilakitu ni chaccm kwann redio zao tiv zao kilakitu niwaootu ivi wapinzani sio wa tanzania? 1
  • @
    @hamadali91594 years ago Lazima tumuombe sababu watendaji walikuwa wabovu na maslahi yao. 2