Duration 19:20

BREAKING: WAZIRI MPANGO AMWAGA MACHOZI NILIFIKISHWA HOSPITALI NA MTUNGI WA OKSIJENI

11 845 watched
0
56
Published 23 Feb 2021

"Siku 14 nilizokuwa nahudumiwa nyumbani na baadaye madaktari wakaamua kunihamishia hapa (Hospitali ya Benjamin Mkapa-Dodoma), tumtukuze Mungu, mwacheni aitwe Mungu. Namshukuru Mungu kwa kunipa nafasi nyingine" ni kauli ya Dk. Philip Mpango, Waziri wa Fedha na Mipango akizungumza na waandishi wa habari baada ya kutoka hospitali. 🔘JE, NA WEWE UNA HABARI? 🔘WASILIANA NA MwanaHALISI TV ( +255 767 400402), 🔘WhatsApp ( +255 692 318213) 🔘Email: mwanahalisitvnews@gmail.com 🔘KWA HABARI ZA KILA SIKU: http://mwanahalisionline.com

Category

Show more

Comments - 49