Duration 1:43

Stori za Soka: Ijue sababu ya Brazil kuvaa jezi za njano.

1 519 watched
0
5
Published 10 Jun 2020

Tarehe 16, Julai 1950 ndiyo siku iliwafanya Brazil kubadilisha rangi ya jezi zao kutoka nyeupe na kuanza kutumia njano na bluu, waliamini kwamba uzi mweupe ulikuwa na gundu kwenye historia ya soka lao, Hii ni ni baada tu ya kupokea kichapo kutoka kwa Uruguay mbele ya mashabiki takribani 200,000.

Category

Show more

Comments - 1